Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Tunao uwezo wa kutafuta magoli tena saana but kulikuwa mwanzo na mistake ndogo nadhani SAF aliona hiyo kitu

Tujipongeze oooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhy
 
Hii ndio tofauti ya ManU na timu nyingine kama wangekuwa ndugu zetu Liva hii game ingeisha 7-7
Spurs wana mkosi sana na ManU kuna kipindi walitufunga 3-0 hadi mapumziko but game ikaisha 5-3 then kuna siku Pedro Mendes alipiga mkwaju ukaingia goli but refa hakuona but replay ilionyesha ni goli.Hii ni salamu kwa Arsenal naona Fergie alimweka benchi Anderson kwa ajili ya Arsenal
 
ManU hamna kitu:

Msikie mshkaji wake Fergie anasemaje:

United were not going to win unless something like that happened - Harry Redknapp

Yaani akimaanisha penati za kupewa au red card zisizoeleweka kwa wachezaji wa timu pinzani. Hivo ndivyo ManUtd inavyo-survive..
 
We ulitegemea aseme nini ,Tatizo jamaa walibweteka wakafikiri game imekwisha wakasahau kama ukianza kumfunga Man inabidi uangalie sana ni bora waanze kukufunga then uchomoe
 
Huwezi ukajiangalia kama refa yupo macho kuangalia possibility ya kuwapa timu pinzani penati au red card..huo ndo ukweli:

Fergie mwenyewe kakubali kuwa refa kawabeba..nanukuu:

'We were a bit fortunate but football is a funny game'.. Yes it is funny game when ref is your 12th player!

Na bahati mbaya kumekuwapo penati nyingi sana Old Trafford through ages na hata Mr. Bean alishawahi kuliongelea hili hata Benitez hata The Special One..
 
ManU hamna kitu:

Msikie mshkaji wake Fergie anasemaje:

United were not going to win unless something like that happened - Harry Redknapp

Yaani akimaanisha penati za kupewa au red card zisizoeleweka kwa wachezaji wa timu pinzani. Hivo ndivyo ManUtd inavyo-survive..

hhaahahhahah Mkuuu umenifurahisha sana na ndio ilivyokila siku mfa maji.

Sasa cha kustaajabu ina maana goli la pili mpk la Hamsa yote hayo yalikuwa Penalti. Mimi naamini hawana la kujitetea wao wakubalia kwamba walijua kipindi cha pili watawekewa mziki wa taaarab wakakuta jamaa wameweka Bolingo kazi hapo sasa lazima utokwe na jasho.

Tukubali kwamba ManU walicheza vizuri na ndio maana wamestahili/tumestahili kushinda.
 
Hao kina Benitez wanatapatapa kama kupewa penati hata hao Liverpool wamepewa
mlikuwa mnasema ManU hata red card hatupewi but msimu huu Vidic -2,Sholes-1,Rooney-1,Ronaldo-1 still tunaongoza ligi
Liverpol wamewahi kupewa penati dakika ya 95 ,kwanza Gerad alidive na muda ulikuwa umekwisha
 
Huwezi ukajiangalia kama refa yupo macho kuangalia possibility ya kuwapa timu pinzani penati au red card..huo ndo ukweli:

Fergie mwenyewe kakubali kuwa refa kawabeba..nanukuu:

'We were a bit fortunate but football is a funny game'.. Yes it is funny game when ref is your 12th player!

Na bahati mbaya kumekuwapo penati nyingi sana Old Trafford through ages na hata Mr. Bean alishawahi kuliongelea hili hata Benitez hata The Special One..
Naomba link wapi katoa hii statement
 
hhaahahhahah Mkuuu umenifurahisha sana na ndio ilivyokila siku mfa maji.

Sasa cha kustaajabu ina maana goli la pili mpk la Hamsa yote hayo yalikuwa Penalti. Mimi naamini hawana la kujitetea wao wakubalia kwamba walijua kipindi cha pili watawekewa mziki wa taaarab wakakuta jamaa wameweka Bolingo kazi hapo sasa lazima utokwe na jasho.

Tukubali kwamba ManU walicheza vizuri na ndio maana wamestahili/tumestahili kushinda.

Mkuu complexity ya game hutegemea sana kipi kimejiri dakika zilizotangulia..nadhani wataalamu wa soka walikubali hili. Kama refa asingeharibu gemu lilishakuwa kichwa chini miguu juu kwa upande wa Man U.

Maneno ya Redknapp mimi nayapa uzito sana, maana huyu mzee ni msela wa Fergie na kabla ya game huwaga anamwalika wakate mvinyo pamoja, kwa hiyo sio maneno ya mtu baki mkuu..Anajua anachoongea na mjuzi wa futiboli toka enzi zile za KOP mpaka West Ham alipowapika akina Lampard, Ferdinand na Joe Cole.
 
ManU hamna kitu:

Msikie mshkaji wake Fergie anasemaje:

United were not going to win unless something like that happened - Harry Redknapp

Yaani akimaanisha penati za kupewa au red card zisizoeleweka kwa wachezaji wa timu pinzani. Hivo ndivyo ManUtd inavyo-survive..

Mkuu,
It always become controversial when decision are taken in 'favor' of Manutd and not unless otherwise. Kama una argue against 'controversieal' decisions against Manutd then rejea yafuatayo.

1. Game dhidi ya Everton nusu final, NO DOUGHT Wellbeck aliaungushwa na Jagielka, then for u guys THE REF. was right!

2. Nusu final ya FA mwaka jana, mechi ya Manutd dhidi the similar scenario happen, baada ya Kuszak kumwangusha (i think ni Bellamy), the keeper was redcarded na penalti tukafungwa, tukatolewa. BTW; nashangaa kipa kupigwa red card, (hopeful msimu jana TREBLE was there except that FA elimination). For u guys the REF was right!

3. Game ya last week ya Ze Gonarz na Wigan , Gibbs was the last person na Valencia, the boy akamvaa Valencia, dakika ya 44 hiyo ilikuwa na Ze Gonnaz were 1 goal down, the REF just give the boy YELLOW card, then rejea similar situation Vidic kwa Gerady OT and what happen!

4. Game ya Liva na Aston Villa, previous weeks, Freidel kipa wa Villa, he did the same thing kwa Torres, the penalti was given na kipa akalimwa red kadi (even though the decision was revised,but what about the penalti?)

5. Kama kuna waliocheki game (au highlites) ya Liva na Hull City jana, then they tell us kuwa hivi Boateng deserved that Red Card au ni Manutd tu 'wanabebwa'

6. The Blues nao wamooo, hivi ile pull back ya Kalou kwa Tristan jana while the guy was going to see Peter Cech deserve only a penalti au BOTH?

etc..etc...etc...etc...etc...all in all it is just consolidating VOICES, at my dictum is; It is only 'controversial' when Manutd are awarded rational jugdements.
BTW; Kama umecheki replay ya ile muvu ya Carrick na kipa then u wouldnt say that!......

Go United!
 
BTW; Game ya jana, it was for Manutd to loose, the fact ni kwamba tulicheza vizuri na ku-dominate mechi, what happen ni kwamba kwa First half, Tottenham walitengeneza nafasi 3 wakatumia 2, on contrary na sie ambao ambao tulitengeneza nafasi 13 bila goli.

So the game was flowing on favor of us, and for sure, despite kuwa disappt, ile half time, lakini i was optimistic kuwa 'at we shall' snub a Draw!

Rednapp, anajifariji tu.
 
Kipindi cha kwanza hakukuwa na nafasi ..ManU walikuwa wanarukaruka tu..nafasi zimekuja kipindi cha pili baada ya refa kuwapa mwanya.

Tottenham ni wazuri na next season vijana wa Mr. Bean wanaweza kuikosa nafasi ya champions ligi. Everton na Aston Villa nao sio wa kuwapuuza, pamoja na kikosi cha Zola.
 
Mkuu,
It always become controversial when decision are taken in 'favor' of Manutd and not unless otherwise. Kama una argue against 'controversieal' decisions against Manutd then rejea yafuatayo.

1. Game dhidi ya Everton nusu final, NO DOUGHT Wellbeck aliaungushwa na Jagielka, then for u guys THE REF. was right!

2. Nusu final ya FA mwaka jana, mechi ya Manutd dhidi the similar scenario happen, baada ya Kuszak kumwangusha (i think ni Bellamy), the keeper was redcarded na penalti tukafungwa, tukatolewa. BTW; nashangaa kipa kupigwa red card, (hopeful msimu jana TREBLE was there except that FA elimination). For u guys the REF was right!

3. Game ya last week ya Ze Gonarz na Wigan , Gibbs was the last person na Valencia, the boy akamvaa Valencia, dakika ya 44 hiyo ilikuwa na Ze Gonnaz were 1 goal down, the REF just give the boy YELLOW card, then rejea similar situation Vidic kwa Gerady OT and what happen!

4. Game ya Liva na Aston Villa, previous weeks, Freidel kipa wa Villa, he did the same thing kwa Torres, the penalti was given na kipa akalimwa red kadi (even though the decision was revised,but what about the penalti?)

5. Kama kuna waliocheki game (au highlites) ya Liva na Hull City jana, then they tell us kuwa hivi Boateng deserved that Red Card au ni Manutd tu 'wanabebwa'

6. The Blues nao wamooo, hivi ile pull back ya Kalou kwa Tristan jana while the guy was going to see Peter Cech deserve only a penalti au BOTH?

etc..etc...etc...etc...etc...all in all it is just consolidating VOICES, at my dictum is; It is only 'controversial' when Manutd are awarded rational jugdements.
BTW; Kama umecheki replay ya ile muvu ya Carrick na kipa then u wouldnt say that!......

Go United!

Nakumbuka Mr. Bean alisema mara nyingi referees huwaga wanakuja to the rescue of ManU when they really need it. Kama una macho na masikio nadhani umenielewa. yaani huwasaidiaga tu pale wanapokuwa ktk compromised position. Penati kama ile ya jana isingetolewa kama Man U ingekuwa mbele kwa mabao 3 au 4 kwa bila. Huo ndo ukweli.
 
Huwezi ukajiangalia kama refa yupo macho kuangalia possibility ya kuwapa timu pinzani penati au red card..huo ndo ukweli:

Fergie mwenyewe kakubali kuwa refa kawabeba..nanukuu:

'We were a bit fortunate but football is a funny game'.. Yes it is funny game when ref is your 12th player!

Na bahati mbaya kumekuwapo penati nyingi sana Old Trafford through ages na hata Mr. Bean alishawahi kuliongelea hili hata Benitez hata The Special One..
Nakumbuka Mr. Bean alisema mara nyingi referees huwaga wanakuja to the rescue of ManU when they really need it. Kama una macho na masikio nadhani umenielewa. yaani huwasaidiaga tu pale wanapokuwa ktk compromised position. Penati kama ile ya jana isingetolewa kama Man U ingekuwa mbele kwa mabao 3 au 4 kwa bila. Huo ndo ukweli.

...sasa ndugu yangu,...hebu nitake radhi basi kidogo, huyu unayemwita MR BEAN ndio nani? ....isije ikawa una maanisha Le professeur ARSENE WENGER (?), ...😡
 
Duh ..kumbe Wenger anajua kithwadhi ..bathi thamahani bothi thitarudia tena Prof. Venga
 
Man Utd's Giggs named PFA Player of the Year

Premier League team of the year:
Van der Sar, G Johnson, Ferdinand, Vidic, Evra, A Young, Gerrard, Giggs, Ronaldo, Anelka, Torres
 
Back
Top Bottom