Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Icadon,

Huyo Darren Fletcher michosho sana, inabidi mumuuze tu hawezi nguvu kazi kama Rooney/Tevez/Scholes/Giggs
 
Thank you guys tukikutana fainali (Chelsea) lazima tuwatoe kamasi zito!weeeeeeeeee mtake radhi zitto....angalieni tu imarati

Mnafikiri atachezesha Howard Webb ili awape penalty za utata kama alivyofanya kwa Spurs last w'kend?Ndio sababu jana Ronaldo alikuwa anajidondosha anasahau kuwa ile ni CL na EPL.
 
Watu mko wapi?

1st half imeenda kihalali kwa man utd, wamekuwa magnificent! kama 2nd half wata-concentrate, gunners ndio mwisho wao guu!

see ya!

Honestly speaking Man U walicheza vizuri sana, the tempo was high, clear cut chances,hongereni sana. Ila napata hisia kwamba mnaweza kujuta kwanini mechi hamkuimalizia OT ilitakiwa mpate magoli mengi atleast 3 nil. It was Man U day but yet they failed to kill off the game. The game is still open!
 
Kabla ya game Fergie alisema atafurahi kama tutashinda 1-0 alikuwa anaogopa sana goli la ugenini,na ndoto imetimia
Bora angemuacha Tevez huyo Berbatov yuko slow sana
 
Patrice Evra has admitted he was 'very disappointed' Manchester United failed to put their UEFA Champions League semi-final tie beyond Arsenal.
The European champions dominated the first leg of their encounter at Old Trafford and managed a 1-0 win via a first-half strike from John O'Shea.
Evra, though, has been left frustrated after United spurned a number of goalscoring opportunities as goalkeeper Manuel Almunia impressed for the Gunners.
The Frenchman said: "We are very disappointed, believe me. We should have made sure the tie was over. We should have scored at least two more goals.
"One more would have moved us closer to the final. It is not a good result, we should be in front with more goals.
"We did what Sir Alex asked us but we did not score enough, so it is still 50-50."
 
Pongezi za dhati kwa wanazi wote wa ManUtd..Ushindi ni Ushindi tu kilichotakiwa ni kutoruhusu goli kwa Hawa washika bunduki....Believe me kazi itakuwa nyepesi kwenye himaya yao shaka la hofu mie sina...as days goes nitatoa utabiri wa kweli kwa mechi ya marudiano....Ila kesho kutakuwa na Upigiliaji wa misumari kwenye jeneza la Mido kwenye makaburi ya uwanjani kwao...stay tuned
 
Icadon,

Huyo Darren Fletcher michosho sana, inabidi mumuuze tu hawezi nguvu kazi kama Rooney/Tevez/Scholes/Giggs

weeee acha kabisa, huyu dogo hasifiwi lakini anacheza ni katika watu ambao hawana bahati kabisa ya kushabikiwa lakini ni katika watu ambao wakiwemo uwanjani unaona kabisa wapinzani wanahaha. (Invisible Midfilder)
 
Kabla ya game Fergie alisema atafurahi kama tutashinda 1-0 alikuwa anaogopa sana goli la ugenini,na ndoto imetimia
Bora angemuacha Tevez huyo Berbatov yuko slow sana

Mkuubwa heshima mbele, mimi nipo pamoja na wewe daima ila sasa kwenye issue ya Tevz na Berb nafikiri SAF hakuwa mjinga kumnunua huyu jamaa.

Tevez kweli jamaa anajituma sana na anakimbia sana ila sasa inapofika kwenye kuunganisha timu Berb ni kiboko jamaa kwanza ana pass accuracy kubwa sana ndio kweli yupo slow sana na mtu kama huyu anafaa sana kwenye game ya marudiano maana anauwezo mkubwa sana wa kumiliki mpira

Wat i think is Berbatov gets better with Ronaldo and Rooney than Tevez. Tevez is too similar to Rooney; they are both hard workers.

United need two types of strikers up front: one to do the work (Rooney), and one to drift around and create (Berbatov).

But you might be correct, ALL IN ALL WE PRAY FOR MAN UTD TO WIN THEM ALL
 
Pongezi za dhati kwa wanazi wote wa ManUtd..Ushindi ni Ushindi tu kilichotakiwa ni kutoruhusu goli kwa Hawa washika bunduki....Believe me kazi itakuwa nyepesi kwenye himaya yao shaka la hofu mie sina...as days goes nitatoa utabiri wa kweli kwa mechi ya marudiano....Ila kesho kutakuwa na Upigiliaji wa misumari kwenye jeneza la Mido kwenye makaburi ya uwanjani kwao...stay tuned

MAN U hapo ndio mnaniacha hoi kbs; mnashangilia kutokubali kufungwa goli na washika binduki wa mr. bean. Lakini mkatukandia Ze Blues ktk mechi yetu ya juzi kuwa tumeji-defend mno ??? sasa tofauti ipo wapi watani zetu??? ktk 45 mnts za pili nanyi mlikuwa manafanya nini??? km c kuji-defend na kidooogo mashambulizi ya kuvizia???

NW, i hope tutakutana ROME ktk kilele cha mtanange, tutawanyoa kichwa kikavu within 90 mnts.
 
Kabla ya game Fergie alisema atafurahi kama tutashinda 1-0 alikuwa anaogopa sana goli la ugenini,na ndoto imetimia
Bora angemuacha Tevez huyo Berbatov yuko slow sana

Bifu la Belo na Beba linaendelea..Lol!
Mkuu luks like unamzimia sana Tevez?, mi tabu yangu na yule braza ni nguvu nyingi akili kidogo, kwa mtazamo wangu jana niliona supply mipira mbele ilikuwa more fluid and 'taste' after Beba kuingia....anyways.... what mattas ni ushindi tu!

Congrats Mashetan wenzangu!
 
MAN U hapo ndio mnaniacha hoi kbs; mnashangilia kutokubali kufungwa goli na washika binduki wa mr. bean. Lakini mkatukandia Ze Blues ktk mechi yetu ya juzi kuwa tumeji-defend mno ??? sasa tofauti ipo wapi watani zetu??? ktk 45 mnts za pili nanyi mlikuwa manafanya nini??? km c kuji-defend na kidooogo mashambulizi ya kuvizia???

NW, i hope tutakutana ROME ktk kilele cha mtanange, tutawanyoa kichwa kikavu within 90 mnts.

Keep on Dreaming pal!!..lol!, shughuli yetu mu-ask Ab Tchaz na wenzake!
 
Off course huyu jamaa (TEVEZ) namzimia kinoma hata mashabiki hapo OT wanampenda sana kibaya zaidi ni huenda jamaa akaondoka na mimi sitaki aondoke
Last season combination ya Rooney-Tevez-Ronaldo ilikuwa si mchezo na huyu jamaa anafunga magoli muhimu sana ,tatizo msimu huu tangu Berbatov amekuja Fergie akawa anampiga benchi na still jamaa hatima yake haijulikani hii ikasababisha hata kiwango kilishuka ,siku hizi hapa ile combination yao ya last season inafail
Again Please Fergie dont sell TEVEZ
 
teves aipenda man toka akiwa mtoto mdogo (kama wewe! lol)
sema vyombo vya habari vinataka kumchanganya tu!
ona hii
Carlos Tevez has again admitted he is likely to leave Manchester United at the end of the season. Tevez has failed to hold down a place in the starting XI this season and is unhappy with his lack of action, with United no closer to agreeing an extension to his loan deal.
 
...duh, kumbe wazee leo mna kibarua cha kufa mtu? Middlesbrough lazima washinde ili wasishuke daraja, SAF akiteleza leo Benitez atamkalia tena kooni!

Mkichezesha full squad, jumanne mkila kichapo msijekuleta visababu 'oooh, tulikuwa tumechoka!'
 
Game zote tutashinda, tuna wachezaji wengi wenye uwezo
 
Kikosi cha leo
Foster, O'Shea, Vidic, Evans, Evra, Park, Scholes,Giggs, Rooney, Berbatov, Macheda.
Subs-Kuszczak, Ronaldo, Anderson, Nani, Rafael Da Silva, Gibson, Tevez.
na Rio huenda akacheza Emirates
 
Kikosi cha leo
Foster, O'Shea, Vidic, Evans, Evra, Park, Scholes,Giggs, Rooney, Berbatov, Macheda.
Subs-Kuszczak, Ronaldo, Anderson, Nani, Rafael Da Silva, Gibson, Tevez.
na Rio huenda akacheza Emirates

dah, mnatisha kwakweli! 🙁
 
Naona kama kawa refa kafuta penati ya Boro. Kuna hand ball imetua kwa Vidic kisha Berba kisha ikarudi kwa Vidic ..lakini kama kawa ..aah Man inamchezaji wa kiada..lol
 
Back
Top Bottom