Oh hooooo naona nyumba ya mabua ya Manure inaungua..
Manure 0 Tott'ham 2
siyo siri wachezaji wamechoka sana, hata hivyo bado ninatumaini ya kupata draw.
Hivi SAF kwanini anamuacha Anderson? dogo anatakiwa kupewa 90 minutes. Evra 3 yake imepwaya sana leo, anakimbilia mbele sana na kuacha kuzuia, vijana wanapita huko kushoto maybe SAF atamweleza this time.
na macheda je?Hawa wakifungwa leo watakuwa wameniharibia week(end) yangu yote , nina imani na Tevez atatutoa.
Mashabiki wanapiga kelele Attack! Attack! Attack! leo kuna kazi.
na macheda je?
SAF atakuwa amewatukana half time, naona sasa wanafanya mambo ya msingi Man U 4 : 2 Spurs
Naona Spurs wako shellshocked goli 4 ndani ya dakika 12.
Hongera Man Utd, sijaangalia huu mpira ila mpaka half-time nikajua leo kama siyo kichapo ni draw.
Kuna wengine walianza kukosa raha mapema 'Icadon', hope sasahivi weekend inaendelea vizuri.
Icadon what happened huu mchezo umegeuka kabisa
Unasahau kuwa we are the Kings of comebacks. Ofcourse wengi mtasema Howard Webb katubeba kwenye ile penalty lakini vijana wamejirudi na kurekebisha makosa.
Bwana weh!! maana karaha ilianza kwa kutumiwa text msgs za ajabu ajabu na washabiki wa Chelsea na Liverpool, sasa hivi weekend murua kabisa.