Thank you guys tukikutana fainali (Chelsea) lazima tuwatoe kamasi zito!weeeeeeeeee mtake radhi zitto....angalieni tu imarati
Watu mko wapi?
1st half imeenda kihalali kwa man utd, wamekuwa magnificent! kama 2nd half wata-concentrate, gunners ndio mwisho wao guu!
see ya!
Nyie dawa yenu ni kuwabana hadi kwenye penati ,penati hamziweziThank you guys tukikutana fainali (Chelsea) lazima tuwatoe kamasi zito!
Icadon,
Huyo Darren Fletcher michosho sana, inabidi mumuuze tu hawezi nguvu kazi kama Rooney/Tevez/Scholes/Giggs
Kabla ya game Fergie alisema atafurahi kama tutashinda 1-0 alikuwa anaogopa sana goli la ugenini,na ndoto imetimia
Bora angemuacha Tevez huyo Berbatov yuko slow sana
Pongezi za dhati kwa wanazi wote wa ManUtd..Ushindi ni Ushindi tu kilichotakiwa ni kutoruhusu goli kwa Hawa washika bunduki....Believe me kazi itakuwa nyepesi kwenye himaya yao shaka la hofu mie sina...as days goes nitatoa utabiri wa kweli kwa mechi ya marudiano....Ila kesho kutakuwa na Upigiliaji wa misumari kwenye jeneza la Mido kwenye makaburi ya uwanjani kwao...stay tuned
Kabla ya game Fergie alisema atafurahi kama tutashinda 1-0 alikuwa anaogopa sana goli la ugenini,na ndoto imetimia
Bora angemuacha Tevez huyo Berbatov yuko slow sana
MAN U hapo ndio mnaniacha hoi kbs; mnashangilia kutokubali kufungwa goli na washika binduki wa mr. bean. Lakini mkatukandia Ze Blues ktk mechi yetu ya juzi kuwa tumeji-defend mno ??? sasa tofauti ipo wapi watani zetu??? ktk 45 mnts za pili nanyi mlikuwa manafanya nini??? km c kuji-defend na kidooogo mashambulizi ya kuvizia???
NW, i hope tutakutana ROME ktk kilele cha mtanange, tutawanyoa kichwa kikavu within 90 mnts.
Keep on Dreaming pal!!..lol!, shughuli yetu mu-ask Ab Tchaz na wenzake!
Off course huyu jamaa (TEVEZ) namzimia kinoma hata mashabiki hapo OT wanampenda sana kibaya zaidi ni huenda jamaa akaondoka na mimi sitaki aondoke
Last season combination ya Rooney-Tevez-Ronaldo ilikuwa si mchezo na huyu jamaa anafunga magoli muhimu sana ,tatizo msimu huu tangu Berbatov amekuja Fergie akawa anampiga benchi na still jamaa hatima yake haijulikani hii ikasababisha hata kiwango kilishuka ,siku hizi hapa ile combination yao ya last season inafail
Again Please Fergie dont sell TEVEZ
Carlos Tevez has again admitted he is likely to leave Manchester United at the end of the season. Tevez has failed to hold down a place in the starting XI this season and is unhappy with his lack of action, with United no closer to agreeing an extension to his loan deal.
Kikosi cha leo
Foster, O'Shea, Vidic, Evans, Evra, Park, Scholes,Giggs, Rooney, Berbatov, Macheda.
Subs-Kuszczak, Ronaldo, Anderson, Nani, Rafael Da Silva, Gibson, Tevez.
na Rio huenda akacheza Emirates