Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Game zote tutashinda, tuna wachezaji wengi wenye uwezo
...duh, kumbe wazee leo mna kibarua cha kufa mtu? Middlesbrough lazima washinde ili wasishuke daraja, SAF akiteleza leo Benitez atamkalia tena kooni!
Mkichezesha full squad, jumanne mkila kichapo msijekuleta visababu 'oooh, tulikuwa tumechoka!'
Sir Alex Ferguson has confirmed Rio Ferdinand has not cracked a rib and hopes to be available for Manchester United's Champions League semi-final second leg away to Arsenal on Tuesday./QUOTE]
Belo, umesema kweli kabisa, kikosi cha sasa ni kikali sana. Umeona bao la Park, you can't believe jamaa anavyolenga golu sasa hivi tofauti na zamani. Yaani timu A na B zote kali.
...duh, kumbe wazee leo mna kibarua cha kufa mtu? Middlesbrough lazima washinde ili wasishuke daraja, SAF akiteleza leo Benitez atamkalia tena kooni!
Mkichezesha full squad, jumanne mkila kichapo msijekuleta visababu 'oooh, tulikuwa tumechoka!'
nakuunga mkono mkuu tuko pamoja,mwendo ni ule ule msimu ujao kwa mashetani wekundu
Mko tayari kwa mpambano
@ # 198:
2-1 to Arsenal . Habari zaidi bonyeza hapa:---> https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-games/871-arsenal-special-thread-38.html
Wasssssssssssssssup?
All the Best Man Utd!...Wafungeni kidogo tu Arsenal
all the best man utd!...wafungeni kidogo tu arsenal
inasemekana leo kuna watu watakosa usingizi BAADA YA MECHI.
inasemekana leo kuna watu watakosa usingizi BAADA YA MECHI.