Well done Man U, sasa tunahitaji point 4 katika mechi 3 zilizobaki.

Kwa squad ya Man U, sio vibaya wakianza kusherekea ubingwa wa EPL.....4pnts out of 9 possible, looks easy to the sqaud.

...tukiachana na za Arsenal.

Kwa nini kuachana na point against ganaz mkuu? If on wednesday Man drops two points versus Wigan, then all they will need is 3 points against ganaz...si unajua game itakua OT na ganaz are full of leaks these days?
 
Endapo Man U itazichukua point 6 toka kwa Wigan na Arsenal, huenda ikawa nafuu kwa Hull endapo SAF atawaonea huruma ili wabaki EPL.
 
Icadon, Belo,

Vipi wale Wa-Serbia wawili mliowanunua mbona hatujawasikia kabisa ndani ya ManU?
 
Icadon, Belo,

Vipi wale Wa-Serbia wawili mliowanunua mbona hatujawasikia kabisa ndani ya ManU?
Mmoja amewahi kucheza ,yule mwingine ataruhusiwa kucheza kuanzia next season
 
..heehhehe... bitozi sio! Huyu jamaa ni mzuri sana na anaakili kuliko Tevez ingawa still tevez namkubali kwa mambio yake na ubavu. Ila sasa kinachochukiza nafikiri ni yule dalali wa Tevez na zile percent zake na yeye ndio ana pressure kivile huku wakishindwa kujua kwamba SAF huwa hapendi makuzi. Kama ataonndoka POA na akibaki safi sanaaaa
 
Dalali wake akipunguza bei, at least ziwe Paundi Mil 20 dili linaweza fanyika, unless otherwise simwoni David Gill akiwashawishi The Glazer Family kutoa Mil 32 wanazotaka.

Kila la kheri la Tevez huko utakakokwenda, ila am sure sio ndani ya EP League, toka lini adui yako ukamwuzia Bunduki?
 
Kila la kheri la Tevez huko utakakokwenda, ila am sure sio ndani ya EP League, toka lini adui yako ukamwuzia Bunduki?

yaah! nami sina budi kumtakia kheri Tevez, kwa kweli ni great player, ningependa abaki ila ndo hivyo tena. Mkuu Manda, inawezekana akabaki EPL kunatimu zitakuwa tayari kuruka dau kubwa kama vile Man City, Liverpool, Everton au Newcastle.
 
Wigan Manager Bruce Promises 'Honesty' In Manchester United Clash

...uhh, utawadanganya hao hao,...'once a devil always a devil!'. Last season decisive games zilikuwa Man U against Mark Hughes, na huyu Steve Bruce...both fomer Man U captains...

kesho against Wigan mnachukua Pointi tatu bila jasho 🙂
 
Mkulu vipi tena, lakini unakumbuka baada ya kufungwa na Liverpool nilisema tunachukua ubingwa kupitia kwenu?
 
Waungwana nimefanya changes ndogo kwenye ile trailer ya kwanza.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=_GdtGK-gpAE]YouTube - Manchester United: Then and Now.[/ame]
 
Mkulu vipi tena, lakini unakumbuka baada ya kufungwa na Liverpool nilisema tunachukua ubingwa kupitia kwenu?

...yaani inauma sana kwakweli,...! nakumbuka bro, acha tu.
 
ICADON kazi safi,nimependa ile combination ya Rooney na Tevez if posible ungeweka goli la Giggs alilowafunga Arsenal kwenye semi final ya FA 1999

Ilo nimeliweka kwenye compilation ya Giggs sema basi tuu nimekuwa mvivu wa kuirender. Ila it will be up this weekend.
 
ICADON kazi safi,nimependa ile combination ya Rooney na Tevez if posible ungeweka goli la Giggs alilowafunga Arsenal kwenye semi final ya FA 1999

...mnh, yaani almuradi tu! 😡
 
WIGAN 1 - 0 MAN UNITED

...changa la macho tu hilo Steve Bruce anatutupia, ....full time Man U wataondoka na pointi zote tatu!
 
guys i told you kuwa mechi yetu ni Wigan itakuwa ngumu sana, now you see. Anyway, i hope they will come back...
 
guys i told you kuwa mechi yetu ni Wigan itakuwa ngumu sana, now you see. Anyway, i hope they will come back...

1 - 1. Mtashinda tu mkuu, worry not. Na mtachukulia kombe mikononi mwetu Arsenal. Fedheha kweli kweli!
 
Thanks boys keep it on, only one more point, cheers. Wigan 1 : 2 Man U
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…