1 - 1. Mtashinda tu mkuu, worry not. Na mtachukulia kombe mikononi mwetu Arsenal. Fedheha kweli kweli!

wameshinda;

Wigan 1 - 2 Man U

...afadhali tupo wengi tutaofedheheka siku hiyo. yaani wanahitaji pointi moja tu, ...lakini kwa sifa zao watataka kutufunga mpaka tushike adabu zetu, dah....
 
Ooh! Thank you Man Utd kwa ushindi..

Mbu kaeni vizuri, he he..salamu imetumwa hiyooo
 
wameshinda;

Wigan 1 - 2 Man U

...afadhali tupo wengi tutaofedheheka siku hiyo. yaani wanahitaji pointi moja tu, ...lakini kwa sifa zao watataka kutufunga mpaka tushike adabu zetu, dah....

Yani mtani ata kuniambia kuwa tumeshinda umegoma?
Alafu kati yenu na sisi nani anataka sifa, lol mbona Nov mlitufunga na hatukusema kitu wacheni turudishe fadhila tuu.

Wana Reds, habari ni kuwa mazungumzo kati ya Man U na wakala wa Tevez yanaendelea natumaini watashusha bei.
 
Usijali mtacheza na kikosi C nafikiri mtatoa ngoma draw. Nyinyi ni ndugu zetu sidhani kama tutawapa darasa kama awali.

wala usiwape matumaini hewa!!!! weekend hii tunatangaza rasmi ubingwa wa EPL kwa mara ya tatu mfululizo, yaani tunapiga 'hat trik' kama chidi benzi wa ilala!!!!
hawa washika magobore walichonga sana walipotufunga no.08 lakini sasahivi wanalilia huruma???
 
Tevez kilichobaki kila ukipangwa we funga magoli tu mpaka Fergie atakukubali
 
Tevez kilichobaki kila ukipangwa we funga magoli tu mpaka Fergie atakukubali
kwakweli kama SAF atashindwa kumsajili Tevez atakuwa amechemsha vibaya.
pamoja na kumuasa Tevez awe mvumilivu kama Solskjaer lakini bado anatakiwa kuhakikisha kwamba Tevez haondoki theatre of dreams. na SAF akibugi step tu Tevez akasajiliwa liverpool, tutajuuuta kumfahamu!!!!
Binafsi naona kama SAF anatakiwa kumpa nafasi zaidi ya kucheza kuliko Berbatov, huyu Berba bado hajaweza kumudu kasi ya Man U.
 
Tatizo sio kumweka benchi tatizo ni jinsi Fergie anavyo-mtreat mshikaji wachezaji wengine wanajua hatma yao misimu mmoja au miwil kabla mkataba haujaisha but TEVEZ atakuwa free mwisho wa mwezi huu
 
SAF sio kama ana msahau Tevez, ila KIA jamaa anayemiliki mkataba wake anataka hela nyingi keshachukua 10m kwa loan ya miaka miwili na bado sasa hivi anataka 32m, mwache aende kama jamaa hataki kushuka dau
 
Congratulation ManU!

To all Manure fans;

I congratulate you for winning the Premier league once again.... its painful to me as a Liverpool fan but that's sportsmanship. You have earned your cup and played better and won more games than any other teams... its resilience that counts and once again you have shown it... BRAVO!!

You capitalized on the mistakes of your opponents... you showed characters of champions and you played your luck... true champions indeed

We will see each other next season

MTM, Liverpool fan for life---- YNWA
 
Last edited by a moderator:

Thank you, thank you, ya far too kind...
 
Mnafikiri kila siku ni ijumaa. Mwakani msitgemee. Tunawagonga kwa kwenda mbele.
 
THANKS MTN
WE WILL WIN IT AGAIN NEXT SEASON-Sir Alex Ferguson
 
Championships are for men, boys needn't apply.....Congrats to all my fellow Red Devils.
 
PENDA MAN UTD UNENEPE
ICADON, IDIM, NZIKU,BELO,BELINDA,MBU NA MAN UTD FANS WOTE MPOOOOOOOO

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=6fBdpt5707A"]YouTube - Funny! RonaIdo lnterviews Anderson![/ame]​
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…