William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hongereni Man U!
Gemu ya jana nimeicheki, ingawa mmeshinda lakini we football fans we are the ones who lost it. Mabingwa wanachukua ubingwa kwenye gemu ambayo wameshindwa ku-manage a single shot on target!
Mwaka huu bahati ilikuwa pamoja nanyi, bila kusahau ushirikiano wa kidugu ulooneshwa na marefarii akina Webb et al. Pia msimu huu usingekuwa na mafanikio bila kusahau mchango kutoka kwa timu zilizo nje ya top 4 ambazo ziliwazawadia ushindi na kuwanyima timu nyengine zilizopo ktk top four. Zilipokuwa zikikipiga na timu nyengine zabana, ila zikija kwa Man U zaachiaa...lol
These are the bottomest of the bottomest of the facts.
Asante mkubwa but ni misimu 3 mfululizo huyo Webb alitubeba hata hiyo misimu 2 liliyopita?Hongereni Man U!
Mabingwa wanachukua ubingwa kwenye gemu ambayo wameshindwa ku-manage a single shot on target!
Mwaka huu bahati ilikuwa pamoja nanyi, bila kusahau ushirikiano wa kidugu ulooneshwa na marefarii akina Webb et al. Pia msimu huu usingekuwa na mafanikio bila kusahau mchango kutoka kwa timu zilizo nje ya top 4 ambazo ziliwazawadia ushindi na kuwanyima timu nyengine zilizopo ktk top four. Zilipokuwa zikikipiga na timu nyengine zabana, ila zikija kwa Man U zaachiaa...lol
These are the bottomest of the bottomest of the facts.
Komaeni jamani huyo kijana abaki OT
Angry Manchester United Fans Stage Carlos Tevez Protest - Goal.com
http://www.guardian.co.uk/football/2009/may/17/sir-alex-ferguson-carlos-tevez#history-byline
Carlos Tevez celebrates with Alex Ferguson after Manchester United had
Tevez; "I know that I am not going to continue at Manchester United. I feel that they have lacked respect towards me. It's not about whether they pay £5m more or £5m less, but I feel I have been badly treated."
"There are ways in which the club is managed that I don't understand. When you don't agree with the manager in how the club is run ... I don't have faith in a lot of things that happen here."
mnakumbuka shuka kumekucha!
keshasema anaondoka kwani amekuwa treated so unfairly akiwa united,... issue kwake sio kiasi gani cha pesa, bali utu.
-David Gill"We will assess the squad. He has done very well, come on and made an impact in some crucial games this year and we would like him to stay, but the actual economic situation needs to be clarified."
"If it can be structured correctly, yes we do."
Mimi nimeona picha tu, sijui ni kombe la nini labda mwenzangu unajua....😱 heee!? kombe la nini hilo wamechukua?
[/SIZE][/FONT]
CONGRATULATIONS
"JamiiForums-" Red Devils
WORLDWIDE!
...Icadon, Belo, Saikosisi, Nziku, Manda, Belinda Jacob, na wengine woooooooooote, thanks kwa makombora yenu msimu mzima...
"The Gooners" will be Back 😀

YOYO atacheza winga wa kushoto BAK namba 5,Kibunango beki 3,KKN namba 6,MASANILO 8 striker watakuwa Macheda na InvisibleMkubwa!
Tunatafuta wachezaji wa kucheza mechi ya Hull City next weekend. Naomba kama uko radhi niku kabidhi arm band, utakuwa team captain na utamaliza mbavu za kulia. (i guess ww ni mpenzi wa Manutd kisirisiri, haiwezekani post nyingi zikawa mkekani hapa kuliko kule kwenu kule)
Golini, Ab-Tchaz (i guess huna lectures wala tests weekends), bro Mtindio unakuwa REFA..Lol!.......list iendelee!
Hahaha Manda na Belo mmenivunja mbavu jumatatu hii msimsahau FMES na QM.
Vijana wamepiga suti,Tevez meno yote nje