Manchester United (Red Devils) | Special Thread
- Hongera wakuu wote wa Manu, hands down leo ilikuwa ni lazima muwe hongera sana, sasa tusubiri mwakani tena wazee wa bwawa la maini.

FMEs!
 
Hongereni Man U!

Gemu ya jana nimeicheki, ingawa mmeshinda lakini we football fans we are the ones who lost it. Mabingwa wanachukua ubingwa kwenye gemu ambayo wameshindwa ku-manage a single shot on target!

Mwaka huu bahati ilikuwa pamoja nanyi, bila kusahau ushirikiano wa kidugu ulooneshwa na marefarii akina Webb et al. Pia msimu huu usingekuwa na mafanikio bila kusahau mchango kutoka kwa timu zilizo nje ya top 4 ambazo ziliwazawadia ushindi na kuwanyima timu nyengine zilizopo ktk top four. Zilipokuwa zikikipiga na timu nyengine zabana, ila zikija kwa Man U zaachiaa...lol

These are the bottomest of the bottomest of the facts.
 
tehe! tehe! tehe!.... ubingwa raha maana nakumbuka vijana wakati wanatoka Japan tulikuwa wa 16 mkaanza kutoa njino njee

UBINGWA RAHA SANA

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=UnIAJOgRKXU&feature=popular]YouTube - Man Uniteds Anderson Marching With Soldiers Funny[/ame]​
 
Hongereni Man U!
Mabingwa wanachukua ubingwa kwenye gemu ambayo wameshindwa ku-manage a single shot on target!

Mwaka huu bahati ilikuwa pamoja nanyi, bila kusahau ushirikiano wa kidugu ulooneshwa na marefarii akina Webb et al. Pia msimu huu usingekuwa na mafanikio bila kusahau mchango kutoka kwa timu zilizo nje ya top 4 ambazo ziliwazawadia ushindi na kuwanyima timu nyengine zilizopo ktk top four. Zilipokuwa zikikipiga na timu nyengine zabana, ila zikija kwa Man U zaachiaa...lol

These are the bottomest of the bottomest of the facts.
Asante mkubwa but ni misimu 3 mfululizo huyo Webb alitubeba hata hiyo misimu 2 liliyopita?
Tengenezeni timu za ushindi kwanza kabla ya kulalamika
 
http://www.guardian.co.uk/football/2009/may/17/sir-alex-ferguson-carlos-tevez#history-byline
Manchester-Uniteds-Alex-F-001.jpg
Carlos Tevez celebrates with Alex Ferguson after Manchester United had

Tevez; "I know that I am not going to continue at Manchester United. I feel that they have lacked respect towards me. It's not about whether they pay £5m more or £5m less, but I feel I have been badly treated."

"There are ways in which the club is managed that I don't understand. When you don't agree with the manager in how the club is run ... I don't have faith in a lot of things that happen here."

CONGRATULATIONS
"JamiiForums-" Red Devils
WORLDWIDE!

...Icadon, Belo, Saikosisi, Nziku, Manda, Belinda Jacob, na wengine woooooooooote, thanks kwa makombora yenu msimu mzima...

"The Gooners" will be Back 😀
 
mnakumbuka shuka kumekucha!

keshasema anaondoka kwani amekuwa treated so unfairly akiwa united,... issue kwake sio kiasi gani cha pesa, bali utu.

Hivi huyu Tevez alisema nini weekend iliyopita(kabla ya mechi na Manchester City)?

"We will assess the squad. He has done very well, come on and made an impact in some crucial games this year and we would like him to stay, but the actual economic situation needs to be clarified."

"If it can be structured correctly, yes we do."
-David Gill

Kwa hiyo kwa kifupi jamaa number mzozo sio?
 
...😱 heee!? kombe la nini hilo wamechukua?
Mimi nimeona picha tu, sijui ni kombe la nini labda mwenzangu unajua.

[/SIZE][/FONT]

CONGRATULATIONS
"JamiiForums-" Red Devils
WORLDWIDE!

...Icadon, Belo, Saikosisi, Nziku, Manda, Belinda Jacob, na wengine woooooooooote, thanks kwa makombora yenu msimu mzima...

"The Gooners" will be Back 😀

Mlitunyanyasa sana especially baada ya Gunners kutufunga na mkatuwrite off kama contenders(kumbuka kuanzia mid Nov mpaka X-mas time?).

Nina imani na gunners kuliko ata Liverpool na Chelsea, kwa hiyo all the best next season but for now wacha tusherekee.
 
Naona Fergie laiamua kuvunja mwiko

Fergie fields non-English XI - Sunday, May 10

Sir Alex Ferguson's team set a new standard in the Manchester derby, not because of the ease with which United brushed City aside, but because it was the first time in the club's 131-year history that the starting line-up did not contain a single Englishman.
With regular first-teamers Wayne Rooney, Michael Carrick and Rio Ferdinand all rested it was left to Edwin Van der Sar (Holland); Patrice Evra (France), Johnny Evans (N.Ireland), Nemanja Vidic (Serbia), Rafael (Brazil); Cristiano Ronaldo (Portugal), Ryan Giggs (Wales), Darren Fletcher (Scotland), Park Ji-Sung (S.Korea); Dimitar Berbatov (Bulgaria) and Carlos Tevez (Argentina) to keep United's title push on track.
But United fans need not worry about the international make-up of the squad just yet as it would be equally possible for Ferguson to field an entire team of Englishman. A starting XI of Ben Foster; Gary Neville, Rio Ferdinand, Wes Brown, Richard Eckersley; Owen Hargreaves, Michael Carrick, Paul Scholes, Lee Martin; Wayne Rooney and Danny Wellbeck would be more than match for most teams in the Premier League.
Gianluca Vialli's Chelsea were the first English team to start a match without a single Englishman on the pitch, on Boxing Day 1999. In February 2005, Arsene Wenger's Arsenal went one better and named a 16-man match day squad devoid of any Englishmen.
 
Naona inshu ya Tevez kitu chengine kinachoharibu dili ni kuwa tunafanya biashara na Mangi, then Mangi ameshagundua demand ya product yake iko juu inhali cstmrs wako wengi, tutegemee nini?. Tevez kukaa benchi inaweza kuwa haikuwa tatizo sana kwake ila the energy behind him, frm wakala wake, Maradona and the likes nahisi vitamwondoa OT, Ole Gunnar-baby face, he once happened kuwa mchezaji mahiri lakini alikuwa akitokea bench.

Simwoni SAF, akiendelea kum-hold under such kind of presha, mind you Rud Van nae aliondoka OT on the same grounds (dhidi ya Saha).
 
[/SIZE][/FONT]

CONGRATULATIONS
"JamiiForums-" Red Devils
WORLDWIDE!

...Icadon, Belo, Saikosisi, Nziku, Manda, Belinda Jacob, na wengine woooooooooote, thanks kwa makombora yenu msimu mzima...

"The Gooners" will be Back 😀

Mkubwa!
Tunatafuta wachezaji wa kucheza mechi ya Hull City next weekend. Naomba kama uko radhi niku kabidhi arm band, utakuwa team captain na utamaliza mbavu za kulia. (i guess ww ni mpenzi wa Manutd kisirisiri, haiwezekani post nyingi zikawa mkekani hapa kuliko kule kwenu kule)

Golini, Ab-Tchaz (i guess huna lectures wala tests weekends), bro Mtindio unakuwa REFA..Lol!.......list iendelee!
 
YOYO atacheza winga wa kushoto BAK namba 5,Kibunango beki 3,KKN namba 6,MASANILO 8 striker watakuwa Macheda na Invisible
 
Hahaha Manda na Belo mmenivunja mbavu jumatatu hii msimsahau FMES na QM.
 
Asanteni sana washabiki wa kabumbu popote pale mlipo, sisi washabiki wa Manchester United tunawashukuru sana kwa michango yenu ya mawazo, madongo, utani, marekebisho, majigambo yenu, vidole machoni, dharau na kila aina ya maandiko ambayo mliyaleta katika thread hii, kusema kweli yametusaidia sana kutupa mwanga na hamasa hadi kufanikisha ushindi wa timu yetu kongwe. Kwa kawaida mambo kama hayo ndiyo yanayofanya JF iwe kama familia, kwani kuna wengine tumefahamiana uso kwa uso kwa kuanzia katika JF mtandaoni hadi mitaani.
Kwa niaba ya mashabiki wa Man U, nawashukuru sana wachangiaji wa mada hii, tuendelee kuidadavua hadi wakati wa usajili wa msimu ujao.

Kila la kheri wana JF.

Idimi
 
Hahaha Manda na Belo mmenivunja mbavu jumatatu hii msimsahau FMES na QM.

Hao watakamata dimba dogo na kubwa, i mean mmoja Anderson mwingine atakuwa Carrick...!

Huyo Kibunango simwamini hata kidogo mbavu za kushoto?.. bora awe ball boy, Ogah amalize kushoto.
 
Vijana wamepiga suti,Tevez meno yote nje
 
Attachments

  • t.jpg
    t.jpg
    80 KB · Views: 41
  • uy.jpg
    uy.jpg
    54.9 KB · Views: 51
  • picsrv_manutd_com.jpg
    picsrv_manutd_com.jpg
    32.7 KB · Views: 35
Vijana wamepiga suti,Tevez meno yote nje

Belo! Hii ina maana wapo tayari kwa kazi ya Rome sio? Oh sorry kumbe kuna Hull kabla ya hii nafikiri leo watacheza wakina Wellbeck. ILA UJUMBE NAOMBA UWAAMBIE NA WENGINE TUMUOMBE ALLAN LEO maana hali yao mbaya newcastle heheh...
 
NEWCASTLE TUWASAIDIAJE, MAANA WANAKUWA KAMA ZUBEDA WA PROF J. Mpira sasa ni Half time
 
Back
Top Bottom