Jamani hii KIT yetu mpya ya next season sijaipenda kabisa, sijui wenzangu.
 
Dah, hii mijezi mipya imeshaniboa tayari, lakini hazizidi zile za kijivu tulizovaa na kuchapwa goli kibao hehehe.

 
kwa nini hujaipenda subiri mda ufike usikate tamaa mapema.kumbuka gemu linabadirika kila msimu.usihofu.
 
Jizi sio kitu,kama hauna ujuzi utafungwa tu na jizi zako nzuri.la muhimu hapa ni kuwa na wachezaji bora na si bora wacheza.
 
Wowowooooo .... uzee kweli kazi!!!! naona babu sasa kaamua kulamba mali za hull city...

Kweli ni huzuni, kwa timu hii ya ma--nure
wamekosa mafundi, wamezoa owen kwa huzuni
wataliaaa kwa huzuni, hata mwishooo watafungwa
 
Manu kwishney, SAF ameanza kulamba na ghalasa. Mwakani 4 kama mwaka huu. Ngojeni mtaona.
 
Wowowooooo .... uzee kweli kazi!!!! naona babu sasa kaamua kulamba mali za hull city...

Kweli ni huzuni, kwa timu hii ya ma--nure
wamekosa mafundi, wamezoa owen kwa huzuni
wataliaaa kwa huzuni, hata mwishooo watafungwa


Keep on dreaming Livaaaaf@#$%ls!!, fate will prove u guys wrong....unamkumbuka Henrlik Larson?
 
Manchester united manager Sir Alex Furgeson amempatia jezi namba 7 Michael Owen na amethibitisha kwamba Manchester United imeshamaliza usajili.Manchester united imesajili wachezaji watatu tu Michael Owen, Antonio Valencia na Gabriel Obertan.Kukabidhiwa jezi namba 7 kwa Michael owen ,jezi ambayo imekuwa ikivaliwa na wachezaji nyota wa kama C Ronaldo ni ishara kwamba Sir Alex ana imani kubwa sana na m Owen.

Manchester United imeamua kuacha kusajili mpaka mwakani au katika dirisha dogo mwezi january 2010 baada ya soko la wachezaji kuvurugwa kwa kiasi kikubwa na timu za Real Madrid na Machester City ambao wamekuwa wakitoa dau kubwa.
 
Fergie: No more summer buys
July 13, 2009

Sir Alex Ferguson handed Michael Owen the prized Manchester United number seven shirt and then declared Old Trafford closed for transfer business.

It was anticipated Ferguson would make further signings in addition to Owen, Antonio Valencia and Gabriel Obertan, who joined last week from Bordeaux.

But, faced with a market over-inflated by Real Madrid and Manchester City, Ferguson has decided his current squad is good enough to challenge for an unprecedented fourth consecutive league title, even though Cristiano Ronaldo and Carlos Tevez have left.

He said: "It is the end of our business, so all these stories about who were are supposed to be getting - forget it."

It means Owen will take over Ronaldo's shirt and his place in an attacking line-up containing Wayne Rooney and Dimitar Berbatov, plus youngsters Daniel Welbeck and Federico Macheda, who will both be given a chance to prove they are worthy of the accolades that have been bestowed on them.

"They are both young players - but young players with ability always get a chance here."

Ferguson confirmed he made a bid for Karim Benzema, only to be rebuffed by the Lyon man, who instead became part of Real Madrid's extraordinary spending spree.

Amazing

With a world record £80million burning a hole in his pocket following the sale of Ronaldo, United had the funds to compete.

But Ferguson refuses to be drawn into a bidding war for any player beyond the level he thinks is acceptable.

"There are some amazing numbers being talked about, not all of them realistic," he said.

"It is very difficult to get value now.

"In a way we benefited through the sale of Cristiano, although that figure was non-negotiable.

"But I feel we have a good squad, which meant there was no need for knee-jerk reactions.

"We asked about Benzema and we had a value for him. Lyon have done well because they got 42million Euros but I think we took a sensible view."


Source;Manchestereveningnews
 
Kila la kheir timu "yetu", watajitokeza wakali wengine tu hakuna matata UNITED.
 
Hivi mna uhakika Fergie ndio amemaliza kusajili? Kutakuwa na signing nyingine towards the end of transfer window kama last season.
 
Naona David Gill kadhihirisha maneno yangu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…