Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Manchester United Supporters Club of Tanzania.
Ni wazo tu, lakini kuna uwezekano wa kuanzishwa.

Good goal, great goal indeed... especially when playing against a very difficult team like that!!!

C'mon Manure...😉

Mbona leo hamtuambii matokeo ya Pre - season match au magoli ya leo sio good and great?
wajameni mechi ni half time FC Seoul 2 Man Utd 1.
 
Mbona leo hamtuambii matokeo ya Pre - season match au magoli ya leo sio good and great?
wajameni mechi ni half time FC Seoul 2 Man Utd 1.

Mkubwa heshima mbele

Hahahaha, majukumu leo yalikuwa mengi ila kweli mpk half tym jamaa walikuwa wanaongoza ila game imekwisha matokeo ni FC Selous 2 Man Utd 3 bwa! ha! ha! rooney, macheda na Berbetov
 
Nimesikia GNevile kaumia tena ,nafikiri ni wakati muafaka kwake kustaafu awaachie vijana
 
Nimesikia GNevile kaumia tena ,nafikiri ni wakati muafaka kwake kustaafu awaachie vijana

Wamemchapa kipapai cha kilwa.... kinapumua kama hirizi, akiibuka tu wanaongeza dozi
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=bGjgTNVu6XY"]YouTube - Broadcast Yourself.[/ame]

Its a shame he can do these things even against small unkown teams, tena kwenye mashindano yalipewa jina la 'Peace Cup'! Am glad I wont have to put up with his diving week in week out. This is his first goal with the Galacticos but beleieve me- there will be more to come....earned in this similar unfair and disgusting manner!
Portugal are guaranteed a gold medal in the forthcoming olympic games if they include him in their diving team.
 
Portugal are guaranteed a gold medal in the forthcoming olympic games if they include him in their diving team.

Mhhh kaka hizi kwi kwi za nini? he used to do the same day in day out while at Manure utd, stop yawning!
 
Na ndiyo maana timu zenu za kibongo kwenye mashindano makubwa mnachemkaga..kwenye 18 mkiguswa mwajifanya wakomaa..wenzenu ukiguswa kwe 18 lazima uwende chini..ni kawaida referees kumpa benefit of doubt striker...sio defender..ronaldo hana kosa pale..ndo mtindo wenyewe kaka siku hizi.
 
Fair Play ni moja ya kanuni muhimu za game, refa anatakiwa ampe kadi hapo, this is cheating!
 
Portugal are guaranteed a gold medal in the forthcoming olympic games if they include him in their diving team
They should have included him even when he was @ MANU !!
 
Wapi ma fans wa Mashetani ,mbona kimya .tunawasubiri watoto wa mpare Wenger naona hawana nyimbo,na hao Bwawa la maini wanatuonea wivu eti ooh wamchukue Rooney,kwa UFUPI WAMESHAONA CHAMA LIPO HATA BILA Christiano na Tevez.
 
Back
Top Bottom