Kama nilivyosema uko nyuma kuwa SAF hajamaliza kusajili na vile vile wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu kuletewa kwa kipa mpya baada ya kuumia kwa VDS. Naona chama langu linataka kuipiku Bayern Munich kwa huyu dogo.

...kwakuwa Ben Foster (naye) kaumia goti! ...wakati huo huo, Van de Sar mpaka October ndio anarudi uwanjani.
 
Hivi Kuzchack huwa ni striker ama defender atadaka tuu ndio maana akawepo pale

Hilo kwetu hakuna pressure kama akiumia Almunia....hahaha
 
Afadhali Fergie amsajili huyo kipa baada ya Van de SAR maana hawa wengine hata siwaamini
 
i accept the post,hureeeeeeee manchester united.
na msimu unaonza kesho lazima tutwae tena japo najua utakuwa msimu mgumu lakini vijana hawatatuangusha chini ya mkongwe sir fegie.
man utd unbitabo bwana.!
 
Gud news ni kwamba tumbling of Ze Gonaz is gud newz kwa MASHETANI wenzangu, have u ever imagine kuona soka 'kijiweni' bila kelele za hawa wenzetu wa Upande wa pili?

AIG-Arsenal Is Going.....na this time lazime mshike u-kumi, AT LEAST!

Cheers!
 
...mnatunga sheria? mbona mmejiinamia? Rio Majeruhi, Vidic Majeruhi, Van de Sar majeruhi....mnakaazi kweli leo!
 
Afadhali Fergie amsajili huyo kipa baada ya Van de SAR maana hawa wengine hata siwaamini

He!he!he!he! mmeanza sio ehheee.........na leo mnalo babu!...wenzenu hesabu ishaeleweka jana na Mr. Bean wetu!
 
mods tafadhali tunaomba mbadili kichwa cha thread kwa kuondoa 2000-2009.
 
Kazi ipo msimu huu, naona Birmingham wamekomaa!!!
 
Endeleeni kutupa matokeo watu tufurahii maana mimi huwa na furahi sana kusikia Manu Kafungwa ni kama Yebo Yebo akifungwa vile...
 
Hawajafungwa, wameshinda moja bila. Ila wamewapa tabu sana vijana waliotoka daraja la pili! Watammiss sana Ronaldo nadhani.
 
Hehehe, kawaida ya Man U kuanza ligi slow au mmesahau misimu mitatu iliyopita? Haya Kazi kwenu mapundits wa JF maana najua mtaanza kutuwrite off muda si mrefu.
 
true mkuu wamesahau msimu uliopita tuu tulianza na kuwapiga kimoja kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…