Duh!! Noma tupu!! jamaa wanacheza kama wanalazimishwa.
 
Last edited:
unajua ni kashfa kwa atriker kucheza dk 60 bila kupiga shuti hata moja, hiki ndo alichokifanya Owen leo. noma kweli
 
Haha, leo tumeshikwa vibaya lol...ngoja nicheke tuu.

yaah! kicheko cha uchungu. Hata hivyo ninapata shida na ufundishaji wa SAF nadhani uzee umemzidia sasa. Kwamfano anamruhusu Evra kuingia ndani ya 18 box si mfungaji sasa analeta kosa kosa tu. Ni vizuri kwa beki kupanda lakini si kuingia ndani ya box mara zote.

Tumepoteza nafasi nyingi sana za kufungwa either kwa kukosa concentaration au unprofessionalism kama hizi Evra.

dah! siku yangu imekuwa mbaya sana leo.
 

Ningebwabwaja sana leo humu kwenu ila basi tu waswahili wanasema "mwenzako akinyolewa wewe tia Maji"

Pole mkuu mwenzangu

MTM !!!

BTW, its too early kuona chochote, na vijamaa kama tottenham huwa ni losing streak ya mechi mbili tu inawaua morali
 
Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.
 
asante MTM pole sote, wachanizime kabisa hii pc maana sitaweza kujizuia.
 
Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.

Muzee, yakwetu ilidondoka siku ile na tottenham wakati Voronin anafukuzia penati

Duh, lakini leo nimekubali Owen ni pensioner!!!
 
hahahaha....kweli walk of shame..aibu sanaaaaaa
Leo natoa kicheko cha uchungu tuu, maana siwezi kukasirika uchezaji wa leo hmmm!! Noma hapo tarehe 29 tuuu.

Muzee, yakwetu ilidondoka siku ile na tottenham wakati Voronin anafukuzia penati

Duh, lakini leo nimekubali Owen ni pensioner!!!

Bana we alafu asipochukuliwa na Fabio Capello sijui atalalamika.
 
Mojamoja ndio mpango...

Suala sio kushinda 6 halafu unakuwa sio consinstence kama akina nanihiii.

Gud to see Bwawa la maini wameanza kuangukia pua mapemaaa!..


I hope someone will be courageous enough to swallow back his own words, ndio mpira huo jirani!!
 
Timu haina cutting edge, na dalili zilionekana tangu matchday 1.
 
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.

...kikosi ni kile kile, kapungua Ronaldo, kaongezeka Valencia,...mshaanza madeko yenu sasa, mnaudhiiiiiiiiiiiiiiii!

Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.

...kumbe mnaogopa 'malaria' eeh? ...na 'mbado'! 😀
 
Poleni watani, nasikia hawa jamaa waliwafunga mara ya mwisho mwaka 1968!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…