Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua ni kashfa kwa atriker kucheza dk 60 bila kupiga shuti hata moja, hiki ndo alichokifanya Owen leo. noma kweli
Haha, leo tumeshikwa vibaya lol...ngoja nicheke tuu.
yaah! kicheko cha uchungu. Hata hivyo ninapata shida na ufundishaji wa SAF nadhani uzee umemzidia sasa. Kwamfano anamruhusu Evra kuingia ndani ya 18 box si mfungaji sasa analeta kosa kosa tu. Ni vizuri kwa beki kupanda lakini si kuingia ndani ya box mara zote.
Tumepoteza nafasi nyingi sana za kufungwa either kwa kukosa concentaration au unprofessionalism kama hizi Evra.
dah! siku yangu imekuwa mbaya sana leo.
Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.
Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.
Leo natoa kicheko cha uchungu tuu, maana siwezi kukasirika uchezaji wa leo hmmm!! Noma hapo tarehe 29 tuuu.hahahaha....kweli walk of shame..aibu sanaaaaaa
Muzee, yakwetu ilidondoka siku ile na tottenham wakati Voronin anafukuzia penati
Duh, lakini leo nimekubali Owen ni pensioner!!!
Duh, lakini leo nimekubali Owen ni pensioner!!!
teh teh.....ndo ukubwa huo jamaniMuzee, yakwetu ilidondoka siku ile na tottenham wakati Voronin anafukuzia penati
Duh, lakini leo nimekubali Owen ni pensioner!!!
Mojamoja ndio mpango...
Suala sio kushinda 6 halafu unakuwa sio consinstence kama akina nanihiii.
Gud to see Bwawa la maini wameanza kuangukia pua mapemaaa!..
Lazima tukubali ukweli, kikosi chetu mwaka huu, hasa viungo na strikers ni mbovu sana.
Kuhusu Penati, wala simlaumu Carrick. kapiga vizuri tu ila kipa kaifuata vizuri.
Tushatolewa bikra tayari, nomaaa, ngoja mbu na wenzake waje hapa.