Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Asante mkuu, gemu lina pande tatu, na huo ndo upande wa tatu. Tutajipanga!
Leo baada ya kufungwa ndo mnakubali gemu liko na pande mbili, eeeeh.....mbona wenzenu tukitwangwa huwa hamtambui hilo...ha!ha!h!Ha!ha anyway poleni wote...the likes of MTM, Belo, Belly et al!
Thanks NL, Mie nshapoa na jana nikashushia kwa Stoke ile dozi yetu ya kawaida ya 4x4xFar, Namsubiri Villa jumatatu usiku NImpe kubwa kuliko!!
Poleni watani, nasikia hawa jamaa waliwafunga mara ya mwisho mwaka 1968!!
Shetani wamefulia kwa Barnley!!!!!!! Mji ulikuwa mtulivuuuuuuuuuu!!!
burnley who?
Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana π. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.
Hiki kiwango kimeanza kunitia mashaka ,naona bora hata Fergie ampange Macheda kuliko Owen na Berbatov kingine ni pengo kubwa sana hapo nyuma kucheza bila ya Rio na Vida
mimi niliangalia vizuri sana hile mechi na birmingham na nikajua kwamba mwaka huu tusubiri tuone.nadhani ferguson ataingia kwenye market kabla hijafungwa.anaitaji mchezaji sana na robben atawafaa sana.Mwenzenu Ronald aliwambia Fergie kaishiwa mbinu.....nyie mkaona mnoko...kamsukumia huko.......!
ha ha ha hamna mkuu ndugu zetu wanahitaji mchezaji kwa vile timu yao ilikuwa "one man team" a.k.a ronaldo's team.wamchukue robben manake yule nae anaupenda ubinafsi sana.Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana π. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.
its going to be a tough season for everybody mkuu.Asante mkuu, ila hili litabaki doa. Unatakiwa kuzingatia kuwa bingwa wa EPL huwa ana-loose game 2 au 3 tu. Sasa imagine kuna game za akina spurs, pompy and likes. Anyway, tugange yanayoendelea.
Leo baada ya kufungwa ndo mnakubali gemu liko na pande mbili, eeeeh.....mbona wenzenu tukitwangwa huwa hamtambui hilo...ha!ha!h!Ha!ha anyway poleni wote...the likes of MTM, Belo, Belly et al!
Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana π. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.
I hope someone will be courageous enough to swallow back his own words, ndio mpira huo jirani!!
Wapi mwanachama wa Man Utd 'Icadon'? video za man utd waandalie wakati msimu unaanza mkuu..