Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Asante mkuu, gemu lina pande tatu, na huo ndo upande wa tatu. Tutajipanga!

Leo baada ya kufungwa ndo mnakubali gemu liko na pande mbili, eeeeh.....mbona wenzenu tukitwangwa huwa hamtambui hilo...ha!ha!h!Ha!ha anyway poleni wote...the likes of MTM, Belo, Belly et al!
 
Thanks NL, Mie nshapoa na jana nikashushia kwa Stoke ile dozi yetu ya kawaida ya 4x4xFar, Namsubiri Villa jumatatu usiku NImpe kubwa kuliko!!
 
Haya bana....ila hao A/Villa ni shughuli mzee mzima!
 
burnley who?

Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana 🙂. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.
 
Asante mkuu, ila hili litabaki doa. Unatakiwa kuzingatia kuwa bingwa wa EPL huwa ana-loose game 2 au 3 tu. Sasa imagine kuna game za akina spurs, pompy and likes. Anyway, tugange yanayoendelea.
 
Hiki kiwango kimeanza kunitia mashaka ,naona bora hata Fergie ampange Macheda kuliko Owen na Berbatov kingine ni pengo kubwa sana hapo nyuma kucheza bila ya Rio na Vida
 
Mwenzenu Ronald aliwambia Fergie kaishiwa mbinu.....nyie mkaona mnoko...kamsukumia huko.......!
 
mimi niliangalia vizuri sana hile mechi na birmingham na nikajua kwamba mwaka huu tusubiri tuone.nadhani ferguson ataingia kwenye market kabla hijafungwa.anaitaji mchezaji sana na robben atawafaa sana.
 
Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana 🙂. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.
ha ha ha hamna mkuu ndugu zetu wanahitaji mchezaji kwa vile timu yao ilikuwa "one man team" a.k.a ronaldo's team.wamchukue robben manake yule nae anaupenda ubinafsi sana.
 
Asante mkuu, ila hili litabaki doa. Unatakiwa kuzingatia kuwa bingwa wa EPL huwa ana-loose game 2 au 3 tu. Sasa imagine kuna game za akina spurs, pompy and likes. Anyway, tugange yanayoendelea.
its going to be a tough season for everybody mkuu.
 
Leo baada ya kufungwa ndo mnakubali gemu liko na pande mbili, eeeeh.....mbona wenzenu tukitwangwa huwa hamtambui hilo...ha!ha!h!Ha!ha anyway poleni wote...the likes of MTM, Belo, Belly et al!

Bwana eeh, shughuli si kidogo yaani si unajua kipigo tukipokea mtu unavyopoa.. Thanks mkuu, hope mashetani watarudi kwenye mstari na ndo kwanza mambo yanaanza!..
Man Utd 4 Life!!!
 
Ha ha ha ha wewe AW mchokozi sana 🙂. Wakuu wa MANU poleni sana. Ndiyo kwanza msimu mrefu unaanza hivyo bado safari ni ndefu na kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi. BJ uko wapi? Najua unaugulia hiki kipigo, pole sana.

BAK, asante kwa pole ya kipigo mana si mchezo! kama ulivyosema ndo kwanza msimu umeanza, tunaamini mambo yatakuwa mazuri sana!..
Thanks man!
 
I hope someone will be courageous enough to swallow back his own words, ndio mpira huo jirani!!

Not Me...
Not Manutd...

Hivi nyie hao Burnley hamwajui kuwa ni 'Reli' ya England?i.e. Kiboko ya vigogo, embu watafute Livapool na Chelsea, shughuli yake FA Cup wanaijua waliipataje.

BTW; Ngoma bado mbichi sana, watoto wacheze mchana, jioni ikifika watajua wapi kwa kujihifadhi wakulu tuanze mambo.

Poleni mashetani.
 
Hahaha nilijua tu washabiki wa Arsenal watafanya ndalilo utadhani ndio mwisho wa ligi.
 
Wapi mwanachama wa Man Utd 'Icadon'? video za man utd waandalie wakati msimu unaanza mkuu..
 
Back
Top Bottom