Hivi kwa nini hatukumchukua Lisandro Lopez?
Hutakenua meno kiasi hiki wikiend ijayo....😀😀😀...7-dayz to Go!!!
Hutakenua meno kiasi hiki wikiend ijayo.
Kinachoisumbua Man nadhani si vipaji vya wachezaji, ila ni aina ya uchezaji (CR alitegemewa mno for the last five years so it takes sometime kuzoea kucheza bila yeye).
After game ya leo nadhani watakua washaanza kuzoea uchezaji mpya........
Wadau badae OT.
Walahi mkifungwa weekendi hii ndo basi tena!
The first one is always the important one.