It was really a hard game for us MAN U. But aisee bila own goal la Arsenal sioni kama tungeshinda leo na pia bado sijaelewa substitution strategies and plans za Sir Alex manake inaonekana anasubiria mpaka dk za mwishoo kabisa ndio anaweka wachezaji ambao wangeweza kubadilisha matokeo mapema...!
Safu ya ushambiliaji ya MAN U this year naona bado ni mbovu haswa baada ya kuondokewa na kinara wetu Ronaldo.
Hii falsafa ya kwamba timu na washezaji wapya na wageni watajenga momentum as time goes on, naona ni mbaya sana kwani wenzetu are not under trials they are after winning business.
Am afraid to see Sir Alex is lacking new tricks and better options now he is relying on lucky...! Ni vigumu sana kulitetea kombe mwaka huu..!