Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Wenger appeals for a penalty but the referee says play on.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli zuri, yule alikuwa offside hakuucheza mpira na wala kibendera hakuwa amenyoosha mkona hadi goli lilipoingia.Lile gori la arsenal mwishoni vipi jamani? mi mbona niliona gori lakini eti referee kalikataa vipi?
Lile gori la arsenal mwishoni vipi jamani? mi mbona niliona gori lakini eti referee kalikataa vipi?
Mhafidhina, tatizo letu siyo washambuliaji (strikers) bali ni viungo (midfielders). Kwa mfano game la leo ndo ilikuwa ovyo kabisa kwani Giggs alikuwa ovyo kuliko, sijawahi ona akiwa ktk hali ile. Fletcher ndo alikuwa kiungo mzuri, lakini pasi zake butu mno.
Bila kusajili midfielder wawili au mmoja mwenye uwezo kama aliowahi kuwa nao Veron basi tutapata shida sana. SAF amefanya blander kumsajili Owen badala ya Cristiano. Owen ni striker siyo kiungo.
Naona moderators/Administrators hawapitii hii thread kabisa, tuliomba toka siku nyingi wafute hiyo miaka kwenye heading ibaki Manchester United Fc.
Tafadhali mods mtusikilize angalau ktk hili au tutumie reporting icon?
Naona moderators/Administrators hawapitii hii thread kabisa, tuliomba toka siku nyingi wafute hiyo miaka kwenye heading ibaki Manchester United Fc.
Tafadhali mods mtusikilize angalau ktk hili au tutumie reporting icon?
Consider it done, msije mkasema eti kwa vile sisi ni mashabiki wa Chelsea
ndo maana hatusikilizi maombi yenu.
hahaha...kazi kweli kweli Diaby kama vile amepewa hela na SIR hahaha bonge ya Own Goal
,,,Yaani katika kitu kina niudhi ni FERGIE unakuta anakupangia timu ya ajabu mpaka unashangaa,yule GIGGS hata kama alitengeneza magoli yote mawili alipaswa kum sub mara moja,mtu yupo off form kabisa,kesha zoea mipira ile ya kizamani,mpaka atafute KEEP LEFT wapi na wapi bwana,mechi hizi ni za ANDERSON,lkn babu akishaamua lake ndo humwambii kitu,cheki tushampiga mtu 2,kwanini tusimmalize kabisa kwa 3 au zaidi,akina ROONEY wanaanza kufanya SHOW OFF zisizo na maana,nafikiria the gaffer atakuwa katembeza HAIR DRYER lake huko kwa room,tumeshinda lakini kwa kweli sijavutiwa na uchezaji wetu kabisa so far.
A piece of advice for you....!
If you are against my dictum then you are likely to be 'babies fan' who u cant stop from crying and yelling!
EXCLUSIVE: Manchester United are put under FIFA spotlight for pursuit of Le Havre's Paul Pogba
By Matt Lawton
Chief Football Correspondent
Last updated at 8:18 AM on 04th September 2009
Cash offer: Pogba![]()
Manchester United could be the next club hit with a transfer ban after being accused of snatching another young French star from his club.
FIFA are investigating allegations made by Le Havre that the Barclays Premier League champions offered cash to France Under 16 captain Paul Pogba to lure him to Old Trafford.
United argue that Pogba was not under contract with the French club when he signed for United in July. Le Havre claim otherwise and have lodged a complaint with FIFA.
A statement from Le Havre said: ‘United offered very high sums of money to the parents with the aim of obtaining the transfer of their son.
‘At a time when parties are speaking out against the "trading of minors", Manchester United does not hesitate to uproot a 16-year-old kid.'
Le Havre managing director Alain Belsoeur claims to have documentation showing United offered inducements for Pogba to join them and has vowed to include it in submissions to the world's governing body.
'We are still pursuing our case,' he said. 'It is a very serious case. We are confident that we'll win because it is in the best interests not just of our club but of sport.
'We spend five million euros [about £4.3million] on our academy every year out of a turnover of 12 million euros. It is a huge investment.
![]()
Scrap: Paul Pogba (centre) in action for France Under 16s
'We do that to give a chance to our players to develop for our first team, not to be an academy for others. What is the point of investing in an academy if the players leave at 16? This is clearly a message from FIFA to protect the education system.'
United deny the allegations. A club spokesman said: ‘It is complete nonsense. Everything has been done within FIFA guidelines.'
source; http://www.dailymail.co.uk/sport/fo...A-spotlight-pursuit-Le-Havres-Paul-Pogba.html