Huyo nadhani atafikia treatment room si unajua alivyo prone to injuries? is good on his days lakini kuumia mara kwa mara ni tatizo....! Anderson si mumemtupia virago?
Hujaona interview ya Anderson? Amesema he is staying and will fight for his position. Hapo Old Trafford tuna injury prone players mpaka noma.
Da mkuu nashukuru sana maana leo nilibanwa nimeshindwa hata kufuatilia makundi yanakwendajeHaya Red Devilians wenzangu ndio hivyo safari yetu ya Madrid ndio inaanza wiki tatu zijazo.
Group B: Manchester United, CSKA Moscow, Besiktas, Wolfsburg.
Huyo nadhani atafikia treatment room si unajua alivyo prone to injuries? is good on his days lakini kuumia mara kwa mara ni tatizo....! Anderson si mumemtupia virago?
Madrid (Robben) wamempachika jina la "Glassman", unajua glass ilivyo fragile,.. ha ha haaa...
Babu SAF ameamua kumchezesha RIO jumamosi hata kama ni majeruhi...
patamu sana hapo!
Wapi mwanachama wa Man Utd 'Icadon'? video za man utd waandalie wakati msimu unaanza mkuu..
...mwombe Eqlypz, ...naye ni Red Devil mwenye utaalamu huo 😀😀😀...7-dayz to Go!!!
Huyo Roben mzushi ilikuwa aje MAN U kabla hajaenda Chelsea ,Mzee wa fitna Kenyon akampeleka Chelsea now kachoka ndio anataka kuja MANU hatumtakiMambo yakiwa poa Arjen Robben anaweza kutua Old Trafford weekend hii, Man U wanataka kutoa Milioni 11 lakini Madrid wanataka angalau milioni 15.
Anderson haendi kokote.
mwenzako leo ndio anatia sign bayern munich huko.vizuri sana hajaja kwenu manake robben msumbufu sana na mpira wake wa anao anao hule.Huyo Roben mzushi ilikuwa aje MAN U kabla hajaenda Chelsea ,Mzee wa fitna Kenyon akampeleka Chelsea now kachoka ndio anataka kuja MANU hatumtaki
Sour grapesIt was really a hard game for us MAN U. But aisee bila own goal la Arsenal sioni kama tungeshinda leo na pia bado sijaelewa substitution strategies and plans za Sir Alex manake inaonekana anasubiria mpaka dk za mwishoo kabisa ndio anaweka wachezaji ambao wangeweza kubadilisha matokeo mapema...!
Safu ya ushambiliaji ya MAN U this year naona bado ni mbovu haswa baada ya kuondokewa na kinara wetu Ronaldo.
Hii falsafa ya kwamba timu na washezaji wapya na wageni watajenga momentum as time goes on, naona ni mbaya sana kwani wenzetu are not under trials they are after winning business.
Am afraid to see Sir Alex is lacking new tricks and better options now he is relying on lucky...! Ni vigumu sana kulitetea kombe mwaka huu..!
...Hongereni sana, ila na refa kawabeba...
Pole sana Diaby ndio katubeba...Hongereni sana, ila na refa kawabeba...