Baasi, hapo kuna ukweli maana si umeona Platin anavyopiga madongo timu za Uingereza kila akipata chance Blatter naye mzushi tu. Alafu inakuwaje ni timu za Ufaransa tu ndio zinalalamika kuchezewa michezo michafu? Mnakumbuka issue ya Charles N'zogbia?
 
Last edited:

Hawa Le Havre, wasituharibie starehe zetu.
 
Mambo yameiva..

 
Wapenzi wa Man U inabidi tuiombee timu yetu coz Spurs wanatisha, wasije wakatutia aibu wik end hii...
 
Man jinsi marefa wote wako chini yao watashinda tu
 
Man jinsi marefa wote wako chini yao watashinda tu
We bwana we, kama ulikuwapo vile!. Msipobebwa j'mosi hii lazima mpate kichapo tu!. Safari hii tunawaanzishia Peter Crouch toka mwanzo, pamoja na Modric kuumia hamponiiii msipopata msaada wa mchezaji wa 12 (refa).
 
man vs arsenal=england vs france
tukaze butio mambo mbado........
Wapenzi wa Man U inabidi tuiombee timu yetu coz Spurs wanatisha, wasije wakatutia aibu wik end hii...
 
i real like this advert sijui kwanini...hahaha kwanza kabisa nikiwaangalia Arsenal walivyokuwa wakikimbiza mpira..halafu sasa wanapokuja kusema Something Missing naona kama kweli vile..maoni tuu wenzangu wa Man utd

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=zw5P4Qv8gmU[/ame]
 
Last edited:
Waungwana naona Fiorentina nao wameleta noma, Platini na Blatter wanadai wana malalamiko mengi sana kwenye desks zao kuhusu timu za England.
 
Sasa kwa kuifunga Manchester United ndio mtachukua ubingwa? Hizi ndoto nyingine hizi.
 
Hao Spurs ata droo hawapati, mkubwa ni mkubwa...
 
Namuonea huruma Evra j'mosi itakuwa ngumu sana kwake, mwaka jana alipigwa chenga na Lennon mpaka akakaa chini. Mwaka huu lazima avunjike nyonga tu, Lennon anatisha mwaka huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…