Vibonde!Spurs ni vibonde wetu hata sina wasiwasi nao
Wapenzi wa Man U inabidi tuiombee timu yetu coz Spurs wanatisha, wasije wakatutia aibu wik end hii...
We acha tu, naona tumeamshwa!..loh,hawa Spurs mmh!
We acha tu, naona tumeamshwa!..loh,hawa Spurs mmh!
...aaaaaah, MAN U msiniharibie siku jamani...
...aaaaaah, MAN U msiniharibie siku jamani...
Hawa kawaida yao kuanza kuongoza...uwa tukifika kipindi cha pili tunarudisha na kuwashindilia.