GOAL! INCREDIBLE! BELLAMY SCORES! IT'S 3-3! But what a terrible mistake by Ferdinand! What is he doing, trying to flick the ball over Bellamy on the halfway line? Bellamy takes full advantage, sprinting clear before rounding Foster, getting to the byline and sliding from an acute angle into the back of the net! Amazing!
 
Mi nimejuuta kuangalia mipira ya man u ..marefa lazima waibebe. Mpira unachezwa zaidi ya muda wa kawaida ili washinde tu!
 
goli la bellamy tamu sana 🙂

kaka huyu kijana anatisha kama mvua! Umeona alivomalizia dakika ya 90? Kisha eti wanabebwa hadi dakika ya 95!

Kimsingi wakubali kuwa man city mwaka huu ni tishio, na sipati picha mzunguko wa pili adebayor akiwepo!
 
Mi nimejuuta kuangalia mipira ya man u ..marefa lazima waibebe. Mpira unachezwa zaidi ya muda wa kawaida ili washinde tu!
Siku zote Man u wakicheza huwa 11+1=12. I mean ref anaongezeka na kuwa mchezaji wa 12
 
Belammy anaweza kuwa man of the match!

l
 
Siku zote Man u wakicheza huwa 11+1=12. I mean ref anaongezeka na kuwa mchezaji wa 12

100% agreed mkuu! yaani nimeata hasira this is not justice. walisema wangeongeza sekunde 30 zaidi ya zile dakika za kawaida za nyonngeza lakini wapi! katoa free kikc ya utata kuhakikisha wanashinda tu!
 
Tushapata jibu manchester ni nani kati ya manchester na wao!

Idd mubaraka.
 
MANU ni lazima wabebwe na marefa wao ni Taifa Kubwa ati!
 
Mi nimejuuta kuangalia mipira ya man u ..marefa lazima waibebe. Mpira unachezwa zaidi ya muda wa kawaida ili washinde tu!
Marefa wa UK ni kama wa bongo tu. Dakika 7 zote sijui za nini ...
 
Again, tunashuhudia na leo, refereeing ktk EPL is a BIG JOKE. Dakika 5 za nyongeza zimetoka wapi ? Ilimradi tu ManU washinde..aibu aibu aibu!
 
100% agreed mkuu! yaani nimeata hasira this is not justice. walisema wangeongeza sekunde 30 zaidi ya zile dakika za kawaida za nyonngeza lakini wapi! katoa free kikc ya utata kuhakikisha wanashinda tu!
Na hizi Beting huwa mbaya sana kwani na marefarii nina uhakika huwa wana bet kabla ya mechi.
 
Tushapata jibu manchester ni nani kati ya manchester na wao!

Idd mubaraka.
 
Sasa kila mechi ikifunguliwa thread itakuwaje? Ustaarabu is priceless but cheapest.
 
Angalieni utata sanasana hutokea pale Man u wanacheza. Kwenye mechi zingine hutaona upuuzi kama huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…