Manchester United (Red Devils) | Special Thread
BTW,

Leo Evra alimzima kabisa SW Phillips...duuuhhh, Fletcher naona mwaka huu yuko fit sana......mtoto Anderson alikuwa mwiba sana pale kati kati.......

well it was a nice game to watch.........
 
Najua washabiki wa Arsenal leo watalivamia ili jukwaa na maneno 20 kidogo!!
_46410668_michaelowenandcarlostevez.jpg
 
Eight minutes of added time to be played. Chelsea 3-0 Tottenham. Mechi za leo wamezionea kwa kuongeza dk kibao.
 
Mashabiki wa Man U naona wamesh'kuru mungu wamekinga mvua na nailoni..kwi kwi kwi!

siralexfergusoncelebrate_2362938.jpg
 
Mkuu, hapo ideally yes, but kwa mazingira ya mchezo wa leo Man U wamebebwa kabisa. Kama Man city wasingekuwa wamesaazisha unadhani huo muda ungekuwa zaidi ya dakika 4 za mwanzo?

na kwa nini in the first place kuongeza muda zaidi ya muda wa kawaida?

wakulu tusiwalaumu marefa wa kibongo naona hata EPL mambo ni yale yale tu
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mda
manutd wakapiga bao 95, wakachukua mda kuanza boli refa akafidia kwa hiyo mpira ukachezwa mpaka dak ya 97 lakini mancity wakashindwa kutumia dakika za nyongeza
 
kuongeza muda ni advantage kwa timu zote.

Siyo kama unacheza na MANU tena wakiwa kwao na timu pinzani inawakosa baadhi ya wacheza wake nyota. Kwa maoni yangu walikuwa na advantage ya 80% to 20% 🙂
 
Najua washabiki wa Arsenal leo watalivamia ili jukwaa na maneno 20 kidogo!!
_46410668_michaelowenandcarlostevez.jpg
hongera mkuu,sasa mkuu tupige maneno kwanini? mie nafurahi sana jamaa wamepoteza point nao inasaidia ligi kubalance.mie leo nimekosa mechi zote si unajua mambo ya sikukuu pirika zilikuwa nyingi kidogo.
 
Hahah si unajua uwa napenda kuwapandisha watu hasira hapa, heri ya Idd mkuu na mwambie mbu naye heri ya Idd kwake vile vile.
 
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mda
manutd wakapiga bao 95, wakachukua mda kuanza boli refa akafidia kwa hiyo mpira ukachezwa mpaka dak ya 97 lakini mancity wakashindwa kutumia dakika za nyongeza

mkuu, hivi wachezaji wanaruhusiwa kushangilia bado indefinately? Mi nilidhani ni sekunde 30 hivi na ndivyo walivyosema, bao lilifungwa dakika ya 90 sio ya 89, na kama ukiongeza sekunde 30 mpira ulikuwa uishe dakika ya 94 na nusu, sasa hilo la 95 na ushee linatoka wapi?

kubalini kuwa hapo Old traford kuna kubebana na huu mjadala haujaanza leo mkuu!
 
Mtangazaji alisema "In football you have to play until final whistle"
 
Ilikuwa Derby ya ukweli inabidi ndugu zote Liverpool,Chelsea na Arsenal mje kujifunza ni jinsi gani game ya wapinzani inatakiwa kuwa sio game inakuwa upande mmoja
 
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mda
manutd wakapiga bao 95, wakachukua mda kuanza boli refa akafidia kwa hiyo mpira ukachezwa mpaka dak ya 97 lakini mancity wakashindwa kutumia dakika za nyongeza

A few things:

When the announce the time added on its a minimum - not when then game should finish, but the minimum time the game should finish, in this case it was 94 minutes

Then the ref had to add time on for bellamys goal celebration, and as they said on MOTD2 it was 56 seconds from the time the ball crossed the utd goal line and to when kick off was taken.

Then SAF brought on carrick - adding another 30 seconds this equals 1 minute and 26 seconds. 94 + 1.26 = 95.26

Owens goal was at 95.27

yes 1 second over but at 95.26 i can imagine the ball was roughly at owens feet in the penalty area just before he scored, and that isnt somewhere, where you would finish a game is it.
 
Back
Top Bottom