Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebaki bikra moja ya Chelsea kuondolewa
Mechi yenyewe ya 5 mnaongea sana Man U subirini basi tumalize hata ngwe (round) ya kwanza ndipo muongeeNajua washabiki wa Arsenal leo watalivamia ili jukwaa na maneno 20 kidogo!!
![]()
....Karibu sana.Tunajitahidi tu.Ab-Titchaz, asante kwa picha, kazi nzuri mkuu.
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mdaMkuu, hapo ideally yes, but kwa mazingira ya mchezo wa leo Man U wamebebwa kabisa. Kama Man city wasingekuwa wamesaazisha unadhani huo muda ungekuwa zaidi ya dakika 4 za mwanzo?
na kwa nini in the first place kuongeza muda zaidi ya muda wa kawaida?
wakulu tusiwalaumu marefa wa kibongo naona hata EPL mambo ni yale yale tu
Eight minutes of added time to be played. Chelsea 3-0 Tottenham. Mechi za leo wamezionea kwa kuongeza dk kibao.
kuongeza muda ni advantage kwa timu zote.
hongera mkuu,sasa mkuu tupige maneno kwanini? mie nafurahi sana jamaa wamepoteza point nao inasaidia ligi kubalance.mie leo nimekosa mechi zote si unajua mambo ya sikukuu pirika zilikuwa nyingi kidogo.Najua washabiki wa Arsenal leo watalivamia ili jukwaa na maneno 20 kidogo!!
![]()
hongera mkuu,sasa mkuu tupige maneno kwanini? mie nafurahi sana jamaa wamepoteza point nao inasaidia ligi kubalance.mie leo nimekosa mechi zote si unajua mambo ya sikukuu pirika zilikuwa nyingi kidogo.
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mda
manutd wakapiga bao 95, wakachukua mda kuanza boli refa akafidia kwa hiyo mpira ukachezwa mpaka dak ya 97 lakini mancity wakashindwa kutumia dakika za nyongeza
kamisaa alikuwa ameshaamua ni dak 4 za nyongeza kwa hiyo mpira ungeisha dak ya 94, man city wakapiga bao dak 89 wakachukua mda mrefu kuanza boli kwa hiyo refa akaongeza mda
manutd wakapiga bao 95, wakachukua mda kuanza boli refa akafidia kwa hiyo mpira ukachezwa mpaka dak ya 97 lakini mancity wakashindwa kutumia dakika za nyongeza