kuongeza muda ni advantage kwa timu zote.
Angalieni utata sanasana hutokea pale Man u wanacheza. Kwenye mechi zingine hutaona upuuzi kama huu.
Na hizi Beting huwa mbaya sana kwani na marefarii nina uhakika huwa wana bet kabla ya mechi.
namba ya mechi itakuwa sawa na namba ya threads.
ni kweli ustaarabu costs nothing!
Na kila mchezaji akifunguliwa thread itakuwaje?
Na kila tukio, mathalan mchezaji kapigana bar, kakutwa na changudoa etc likifunguliwa thread itakuwaje?
I hate football.
Mambo iko na pool table bana!
exactly ndo maana kuna hii formula kuwa Man u ni 11+1=12 uwanjani....hilo halina kubishana
Hapo kaka ninakubaliana na wewe kabisa. Na kabla ya EPL kuanza waliwaonya makocha kuwaongelea marefa vibaya kwamba season hii marefa wamepewa wembe wakuwaonyesha kadi makocha wanaowapuuza.Lakini hatua ya mwisho wao wenyewe wanakuja kuona madudu wayafanyayo na kuomba msamaha kama walivyofanya kwa Wenger.yeah actually unakuta watu wameshabet hela nyingi sana kuwa mfano manu lazima washinde au owen atakingi na atafunga..so kazi ya refa ni kuhakikisha hela za watu haziliwi na yeye huenda akitoka apo ana % yake? wahat a shame to football....
Goli la Bellamy tamu sana 🙂
exactly ndo maana kuna hii formula kuwa Man u ni 11+1=12 uwanjani....hilo halina kubishana
threads zitakuwa ni nyingi zaidi, uko wapi wewe?
idd njema!
Kumbuka huyo kamisaa ana sauti nae, ni wale wale wanakuwa pamoja Dressing room ya marefarii kabla na wakati wa mapumziko.poleni sana, sababu kama hizi haziwezi kuwasaidia hata siku moja, Man United wanacheza mpira ndo maana wanashinda. Ninawaona tu mnavyokata tamaa kutafuta ubingwa mapema hivi.
Kama mngekuwa fair mngetamka makosa ya refa yote. Ile penalt uliiona pale Lescott aliposhika mpira ndani ya box? Ile foul ambayo ingeweza kutoa red card ambayo Anderson alifanyiwa mbona mpo kimya?
Ile red card ya Paul Scholes match ya wiki iliyopita mbona mlikuwa kimya. Leo nini muda? nani anayeongeza muda ni refa wa kati? You people stop your words. Can't help you neither your team.
Nipo duniani nasherehekea Idd na glass ya Martini pembeni hapa.
exactly ndo maana kuna hii formula kuwa Man u ni 11+1=12 uwanjani....hilo halina kubishana
sawa, idd njema - karib sana sie leo tuko huku.
kuongeza muda ni advantage kwa timu zote.