Hata msimu huu hadi sasa ana nafasi kubwa kuretain tuzo yakeNaona Giggs ameamua kuwanyamazisha critics wake waliopiga kelele kuhusu kupewa PFA Player of the Year award, mjamaa yuko kwenye form sana season hii naomba aendelee hivi hivi. Berbatov naye alishine jana.
Hawa madogo wanatuharibia weekend
Madogo wamechoma msumari wa pili...
Tupo na leo tunaiombea Liverpool ushindi mnonoduuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo
Huyo Ben Forster anazidi kutolostisha
duuuhh yaani hiii ingekuwa aibu kweli.......Manda, Belo, Belinda mko wapi leo