Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Hawa waturuki wanataka kutuchafulia record yetu sasa ya kutokufungwa nyumbani kwenye mechi za Champions League tangu 2005.
 
Hawa waturuki wanataka kutuchafulia record yetu sasa ya kutokufungwa nyumbani kwenye mechi za Champions League tangu 2005.

wameshaichafua, mbaya sana vibonde hawa kutukalia hivi. SAF haufanya maamuzi sahihi kutomweka mzoefu forward line. Hawa akina Macheda, Wellback, Obartan, Gibson na Anderson ni wachezaji wazuri lakini hawana uzoefu. Kibaya zaidi akamuweka na Park ambaye amekuwa benchi muda mrefu.
 
Match ya mwisho itakuwa ngumu sana, wale Wajerumani siyo mchezo tena watakuwa nyumbani kwao. Mara zingine huwa siyapendi maamuzi ya SAF. Mechi ya leo aliamua kuitoa sadaka kwa sababu ya semi-final ya Curling.
 
Mkubwa nilifurahia kikosi kwani hao madogo nao wanahitaji experience kwenye mashindano makubwa ,vile ni kupumzisha kikosi cha kwanza
 
Mkubwa nilifurahia kikosi kwani hao madogo nao wanahitaji experience kwenye mashindano makubwa ,vile ni kupumzisha kikosi cha kwanza

Mfamaji.......!
icon10.gif
 
Naona mnawasahau The Blues

Kwa lipi tena mkuu wametusahau? Maana tulikuwa nao pale darajani wiki kadhaa zilizo pita.Vp wazee waturuki wameharibu record ile nzuri..ndo msingi anzeni upya mazee.
 
Gabriel Obertan atakuja kuwa tegemeo kubwa siku za usoni kijana jana alikuwa MOM bila shaka yoyote.
 
Wakuu nasikia jana kuna watoto wamewapaka hina?
Teh teh teh hongereni kwa urembo
 
These EPL referees are all shit, the Portsmouth penalty was CLEAR evidence that Fifa need to introduce video technology.

Portsmouth 1 : 2 Man U 48mins
 
Portsmouth 1 : 3 Man U 54mins go rooney you may get 5 today.
 
Back
Top Bottom