Manchester United (Red Devils) | Special Thread
That was 100th Premier League goal for Ryan giggs. Man United 4.
 
Hongereni wazee wa hapa naona leo wkend safii! Kwa mtindo huu inabidi kesho tuongeze gape maana mpo karibu sana..

Asante mkuu, kuhusu kesho mimi yangu macho; kwani mnawaoneje Arsenal? linganisha na Wigan. Kila la kheri.
 
Asante mkuu, kuhusu kesho mimi yangu macho; kwani mnawaoneje Arsenal? linganisha na Wigan. Kila la kheri.

Mkuu hii game ya kesho ni ngumu sana maana hawa jamaa wkend iliyopita walichezea kichapo na pili wapo kwenye kiwango kizuri sasa hivi, hatutegemea hata kidogo mteremko hiyo kesho.Ila kushinda ni lazima.
 
Hongereni sana watetezi. Najua kesho hamko nasi maana mnataka kupunguza gap, lakini malengo yetu ni kurudi kweny 5 pt gap!
 
Muda si mrefu tutarudi kileleni leo draw itakuwa poa
 
sawa Peasant nimekusoma vizuri, leo mtapata draw inawatosha ninyi na wapinzani wenu, sisi tunaendelea na utetezi.
 
_46819837_008342909-1.jpg

_46820104_008343073-1.jpg

_46820502_008343469-1.jpg
 
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.

ha ha ha, 5 points game kwenye primiership umesahau Mkuu.. This is Man U without Ronaldo

You have long way to go, by the way yesterday wasnt a Big Match anyway so why so excited?
 
ha ha ha, 5 points game kwenye primiership umesahau Mkuu.. This is Man U without Ronaldo

You have long way to go, by the way yesterday wasnt a Big Match anyway so why so excited?

We still delivering mate na hata msimu uliopita, we came from behind to win the title.

With Man U, excitement is part of life. 🙂
 
ha ha ha, 5 points game kwenye primiership umesahau Mkuu.. This is Man U without Ronaldo

You have long way to go, by the way yesterday wasnt a Big Match anyway so why so excited?

Mkuu uwe unasoma na tarehe ambayo hiyo post imekuwa posted (Nov 2007).
 
Mkuu uwe unasoma na tarehe ambayo hiyo post imekuwa posted (Nov 2007).

Lol...!
BTW: So far so gud, it is btn us na Ze Blues as i said prior, Ze Gunaz wasindikzaji tu, naona this season hawangoji hadi Feb/March waaanze ku-tumble, mapemaaa wameanza 'kuachia'.
 
ukiwa unaangalia game ya manu na wamefungwa huwezi kuondoka maana yake hujui watarudisha saa ngapi, lakini ukiwa unaangalia chelsea, liverpool or assho.. wakifungwa na ni dakika ya 80 unaweza kuondoka maana yake hawawezi kurudisha
 
Back
Top Bottom