Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • manutd-scholes-shoots.jpg
    manutd-scholes-shoots.jpg
    14.7 KB · Views: 103
😀
I love Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan Utd... Long live Man U
Mkuu Manda asante kwa compliment.
attachment.php

Siwatakii mabaya bwawa la maini lakini ningependa kurevenge kwa bluz kule moscow!
Halaf Mkuu Ab-Titchaz acha uzushi, ilikuaje ukasoma na kuanza kuchangia kama ulidhani ni Man exclusive thread? Hata mi kule kwa ganaz huwa napita na kuchombeza kidogo!
 
Roya Roy,

Naona bado unami tu.... kilichonifanya nianze kuchangia hii thread ni ule ushindi wa 2-1..it gave me more confidence.Sasa ngoma iko Moscow maana jana Chelsea wamemliza mtu....hapo nd'o mtajiulizia baada ya kile kichapo cha 2-1 cha juzi.

BTW mimi Bluzzz!!!
 
Hakuna shaka mkuu,tupo pamoja. Sisi wote ni JF na huwa tunatembeleana sana, lijue hilo. Hata mie pia huwa nawapitia sana watani zangu wa Arsenal pale jamvini kwao kwa utani, pongezi na madongo ya hapa na pale, ili mradi tu tunakuwa pamoja kuijenga JF kama wao wanavyofanya hapa kwetu.
Uwe huru tu mtu wetu.
Nikushukuru kwa pongezi zako, niwatakie nanyi Chelsea na Liverpool mchezo mwema leo jioni, najua mmoja wenu lazima nikutane nae Moskva.
Kila la kheri!

Asante Bw. Idimi,

Hivi tunavyoongea Ze Bluzz wamemwasha Liverpool na safari
ya kuelekea Moscow tayari.Mimi pia nafungasha vifurushi vyangu
nielekee huko ukomunisti!

Kama wapenzi wa soka najua the next few weeks itakua mambo ya
kusifiana nani zaidi???...I can't wait for the finals and my
bet is on Chelsea...msiniue tafadhali!Asanteni.
 
😀
I love Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan Utd... Long live Man U
Mkuu Manda asante kwa compliment.
attachment.php

Roya Roy,

Hili lilikuwa bonge la goli...jamaa kaachia ze kicki kutoka
mbali na goli hakua na chance hata chembe....Funny part ni kwamba
Barca walikua wana-clear mpira kutoka maeneo ya hatari...only for
the hatari kuzaa bao!!!!

I believe it should be ranked up there with the goals of the decade!!!
 
Ab-Titchaz tusubiri hiyo kitu ya Moscow, perfect time for our revenge.......bout the uzushi thing i was just kidding...futboli bila aina hii ya ushabiki hainogi...
Wakuu wote wa Man U hapa JF, nilimwona SAF akiangalia mechi ya bwawa la maini na bluuz, ila shaka alikua anachorea mistari mikakati yake ya kuchukua UCL cup... Long live Man and good luck in Moscow!
 
Sasa huyo Sir Ferg...anavizia vizia sio huh?
Haya basi tuone kama hio michoro yake itanoga dhidi
ya Ze Bluzz!...Itabidi tuwatume wajomba wa simbawanga
wakaandae uwanja kabla hio mechi.

Roya Roy, shukrani kwa kunipa motisha maana toka nianze
kuposti humu ndani naona levo ya ushabiki na ubishi itaongezeka.
Wala hujakosea kwa kusema mpira bila ushabiki haunogi kwa
hivyo acha nijufunge mkanda na kusubiri ushari tu!!!

May the best man win bro!!!!!
 
Asante Bw. Idimi,

Hivi tunavyoongea Ze Bluzz wamemwasha Liverpool na safari
ya kuelekea Moscow tayari.Mimi pia nafungasha vifurushi vyangu
nielekee huko ukomunisti!

Kama wapenzi wa soka najua the next few weeks itakua mambo ya
kusifiana nani zaidi???...I can't wait for the finals and my
bet is on Chelsea...msiniue tafadhali!Asanteni.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza vijana wa Grants akina Titchaz kwa kukausha bwawa la maini.
Tunawakaribisha sana Moskva.
Idimi
 
Tumekaribia Bw Idimi and may the best man win!!!

Kwa kufuru na hela za Abromavich nina uhakika atawanunulia staffers wote wa Stamford Bridge tickets za kwenda Moscow...

Kuna mtu niliwahi kubishana naye kuhusu Chelsea kuingia final au kuchukua Champions League under Mourinho, nikamwambia that will Never Happen...na kweli yametokea...

Ila kwenye mchuano kama huu ndio mtamjua SAF ni nani, I hope we will break the Westham jinx....maana hii mechi inanikumbusha miaka ile wakaishia kuchukua Blackburn.

One United!!!
 
Najua Grants yupo determined kupata angalao kombe moja kubwa msimu huu....and he is pretty close to that....the only problem he has SAF on his way and i don't he is able to push him off his way.
Kama Abromavich atafadhali watu wakaishangilie chelsi ahesabu hasara....Man U and double win 2008 are unseparable....ila leo ni a must win!
Long Live Man U.
 
Updates- 3-1 Man U, I said it! Hata comment ya Curbishley mwenyewe this week kwamba itakuwa injustice kwa Man U kutoshinda title this season tells it all!
 
😀
I love Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan Utd... Long live Man U
Mkuu Manda asante kwa compliment.
attachment.php

Hili shuti linanikumusha enziii zileeeeee nikiwa senta-hafu wa Lipuli ya Iringa!!
 
Its now 4-1.

Roya u cant imagine i have missed tha game ila don't ask me why?

Amani kwa ''wapenzi'' wa soka nahisi hii ya leo ni msumari wa mwisho kwa Ze Gunaz who were talking about ''Mirracles'' ya kuwa mabingwa, Roya tell me how was the pace of the game!!

Ronaldo a.k.a software naona anazidi kuwawasha tuu!!, apo Ab-T na ''wenzako'' tumbo joto!, ahh unabisha?
 
Back
Top Bottom