Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Arsenal akichomoka leo..........sijui
 
Ghhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!, ni heri kufungwa TANO BILA na Chelsea kuliko kutoka drooooo (i mean droooo) na Ze Gunnazzzz, nahisi 'mning'inio'...............

Namtoa Kafara Garl Neville!, katuuza mpuuzi mbabu yule!!


ONE LOVE ONE UNITED....NO RETREAR NO SURRENDER MWANZO MWISHO!!!
 
Nadhani timu yenu sio nzuri kama mlivyokuwa mkitegemea..ingawa mimi si mpenzi sana wa soka majigambo yenu kule kwenye thread ya Arsenal yalinifanya niangalie huu mpambano ingawa haukuwa kwenye ratiba..


Jinsi nilivyoona ni kwamba Man Utd ilipoteza ramani kabisa ktk dk 20 za mwisho yaani ilidoda kabisa , na wenzenu Arsenal wangekuwa wazuri ktk umaliziaji mngetoka na kapu la magoli.

Poleni..
 
Jamani naomba kujua matokeo ya arsenal na man u mimi niko kijijini.Ningependa kujibiwa na hasa nyie wapenzi wa united!!
 
Wasssssssssssssssup?

_45187232_nasri226x282.jpg
 
Huu msimu naona ubingwa sio wetu tena yani kila game tunayofungwa mabeki wetu wanagawa magoli
 
Nafikiri GNevile anatakiwa kustaafu amwachie RAFAEL namba ,RIO nae ameanza kuwa yeboyebo.Game ya jana kulikuwa na umuhimu wa kumchezesha NANI & FLETCHER.NASRI alikuwa anacheza free kulikuwa hamna mtu wa kumkaba nafikiri Fletcher angeweza hiyo kazi then nilishasema ni bora acheze TEVEZ & BERBATOV kuliko ROONEY kwani hamna lolote analofanya zaidi ya kupewa kadi kila mechi
Credit to JS PARK,VIDIC &RAFAEL
 
Huu msimu naona ubingwa sio wetu tena yani kila game tunayofungwa mabeki wetu wanagawa magoli

Mkuu Shetani wa Ukweli hakati tamaa mapema kihivo!, mind you ni game kumi hivi ndio zimechezwa, mda wa timu kudrop point kwa team ni kuanzia duru la pili, na mind you Big Four zoote zaja OT, kipindi ambacho sidhani uzembe kama huu utatokea tena.

My worry ni kwa Chelsea na Liverpool, forget about Z Gunnaz ambao still tukimalizia kiporo chetu na Fulhman tunakuwa juu zaidi yao, wale ni kama MCHICHA, yaani mvukeee tu waweza ivisha io mboga!

BELO, bifu lako wewe na Rooney mi siingilia looks like humkubali dogo, yeep ni kweli jana alichemka sana, na mind you kuvuja kwa beki wa kati kunachangia sana na Mabeki wa pembeni (akina Gary), coz ndiko mashambulizi yanakoanzia, mind you ITS NOT OVER TILL ITS OVER..One Love One United..!
 
Nadhani timu yenu sio nzuri kama mlivyokuwa mkitegemea..ingawa mimi si mpenzi sana wa soka majigambo yenu kule kwenye thread ya Arsenal yalinifanya niangalie huu mpambano ingawa haukuwa kwenye ratiba..


Jinsi nilivyoona ni kwamba Man Utd ilipoteza ramani kabisa ktk dk 20 za mwisho yaani ilidoda kabisa , na wenzenu Arsenal wangekuwa wazuri ktk umaliziaji mngetoka na kapu la magoli.

Poleni..

Be Honest Dude!, kuwa kwako Ze Gunnaz hakukuzui kutupiga madongo bwana!, naona unazuga kama sio vile mpenzi wa Ze Gunnaz kwakuwa unajua timu yenu kama vidonda vya tumbo?, yaani mda wowote vyaana kukuuma!

Nafikiri analsis yakom iko biased, kama kweli ulicheki game sisi ndio tuli dominate mpira, tena zaidi 2nd half, the fact ni kuwa scoring was a real hurlde kwetu!, n babu Gary Neville alikuwa anavuja FISTULA ina afadhaliiii!!
 
@# 205,

Ni kweli huwa kwa kiasi fulani huwa navutiwa na kazi za Eng. Wenger, hata Usama bin Laden anavutiwa na kazi za Prof. Wenger, ambapo aliripotiwa kuwahi kudhuru Highbury(kabla hajawa demonic). Mimi sio analyst wa mpira hivyo explanation zangu lazima zitakuwa biased..lakini nadhani mlizidiwa mbinu, mpira si kupasiana tu.

Actually navutiwa na timu iitwayo Associazione Calcio Milan (1899), a.k.a Rossoneri.

Tupo pamoja.
 
Manda, Icadon

Neville inabidi astaafu awaachie vijana Brown(ame-improve sana huyu) na Rafael.....halafu pengo la Babu Scholes jana lilikuwa kubwa sana...........kijana mwingine ambaye angeleta uhai ndani ya midfield ni Owen....yule Carrick naye kishachoka siku hizi......alimchosha sana Anderson....sijui kama uliliona hilo!!
 
Man Utd 1-0 QPR

_45197317_tevez226.jpg


Carlos Tevez fires home the match-winning penalty at Old Trafford

Carlos Tevez struck from the penalty spot in the 76th minute as Manchester United edged into the quarter finals of the Carling Cup following a dour match.

The Argentine made no mistake from the spot after substitute Danny Welbeck had been felled by Peter Ramage, but it was far from a vintage United performance.

Ji-Sung Park earlier hit a post but a much-changed United side failed to turn their utter dominance into chances.

QPR defended throughout, though Samuel di Carmine had a late effort ruled out.

The Italian forced home from close range but the official's flag was the right call - and an equaliser would have been unjust given the visitors' reticence to attack.

For their part, United totally dominated possession but - with Wayne Rooney, Dimitar Berbatov and Cristiano Ronaldo rested - attacks constantly misfired.

Still, eight changes to the starting line-up that went down 2-1 to Arsenal at the weekend perhaps explains the disjointed display United produced.

On the day news broke that Owen Hargreaves will be out for the rest of the season with knee trouble, United boss Sir Alex Ferguson will have been pleased to see Rodrigo Possebon pulling the strings in midfield.

But United struggled to create many clear-cut chances, Tevez forcing a fine, low save with a stinging shot before Rangers keeper Radek Cerny almost let in Ji-Sung Park when he spilled Anderson's effort.

Those were the highlights of a largely drab opening half and things barely got better at the start of the second, with Nani, Anderson and Park all guilty of wayward passes.

Park nearly provided the breakthrough on the hour mark, blazing a 30-yard effort against the post after good work by Rafael da Silva and minutes later Tevez forced Cerny to tip over from 12 yards.

QPR finally managed their very first effort on goal on 73 minutes when Dexter Blackstock brought an easy save out of Tomasz Kuszczak.

Three minutes later Nani burst into the box well and laid the ball to Welbeck, who was clearly felled by Ramage.

Tevez, who has regularly been left out of the United starting line-up in recent weeks, made no mistake from the spot, sending Cerny the wrong way.

Rangers finally rallied following the goal and after Di Carmine's effort had been rightly ruled out, Emmanuel Ledesma fired wide of the goal after Blackstock's shot had been saved.

It was commendable effort at the end of the match from the visitors, but few could argue United deserved the win and to go through to the last eight of the competition.

"He's only recently back from a groin injury but now that he's fit he's very much in the first-team picture.

"The only area that has been letting us down of late - and it showed again tonight - is taking our chances. But the goals will come, I'm sure."

QPR caretaker manager Gareth Ainsworth on injuries to Gavin Mahon, Lee Cook and Daniel Parejo:
"They are problems we could do without. I will be making changes on Saturday against Burnley that's for sure.

"We have given a good account of ourselves and this is a fairytale for me.

"But we are back down to earth at Burnley on Saturday. The Championship is important for us. We have massive ambition and we want to get out of it."

Man Utd: Kuszczak, Rafael Da Silva, Neville (Vidic 89), Evans, O'Shea, Gibson, Possebon (Welbeck 72), Anderson, Nani, Tevez, Park.
Subs Not Used: Foster, Carrick, Manucho, Cleverley, Gray.

Goals: Tevez 76 pen.

QPR: Cerny, Ramage, Hall, Stewart, Connolly, Buzsaky (Agyemang 33), Rowlands, Mahon, Cook (Di Carmine 78), Parejo (Ledesma 46), Blackstock.
Subs Not Used: Cole, Delaney, Gorkss, Ephraim.

Att: 62,539

Ref: Phil Dowd (Staffordshire

BBC SPORT | Football | League Cup | Man Utd 1-0 QPR
 
mwaka wa shetani ni washetani tu MAN U mechi 3 na wapinzania anapata point moja duh hii kalo
 
Hargreaves' season over

Owen Hargreaves will miss the rest of the season following a successful operation on his right knee.

The midfielder will also undergo surgery on his left knee in a few weeks' time under the guidance of knee specialist Richard Steadman in Colorado.

United boss Sir Alex Ferguson told MUTV: "He had the operation on Monday and it went well, although we won't know the exact details until he gets back. He has to have a further operation on his left knee in a few weeks.

"The reason for us sending him out to America was because Richard is a first-class specialist who deals with these sorts of injuries, and Owen's own preference was to be in Colorado.

"Unfortunately he is out for the season, but we hope this will now be put to bed and we'll get him back as a fit player for the start of next season."

Hargreaves has endured a frustrating time at United since arriving last summer.

He missed the start of the 2007/08 campaign but he played a prominent role in United's Double charge after Christmas.

However, the 27-year-old's tendonitis flared up again in pre-season and he has made only three appearances this term.


NB; Naona Paundi zetu Million 17 Bayern Munich tufanye mpango waturudishia walau nusu yake, manake dili ya huyu mshkaji limekuwa kama dili la IPTL au Richmond!

At the same time Scholes huenda akarudi game na Man City(derby) tarehe 29Nov.
 
This is what we are talking about..!
Naona performanceya jana ilikuwa extra ordinary, for sure tunahitaji magoli mengi sana, coz wapinzani wetu wa ligi msimu huu Chelsea na Liverpool wanamagoli mengi sana ya kufunga!

Credit kwa Ron na Evra, vile viel vijana wapya..Welbeck, Man 'ucho' na Gibson!
 
Hizi ndio ziitwazo mbio za ubingwa....
kuna wale jamaa wamekusanya nguvu msimu mzima ili waifunge Man, but jana nguvu zote zilikua zimieisha.
 
Back
Top Bottom