Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Hizi ndio ziitwazo mbio za ubingwa....
kuna wale jamaa wamekusanya nguvu msimu mzima ili waifunge Man, but jana nguvu zote zilikua zimieisha.

sie twaziita zileee nguvu zao ni nguvu za soda aisee!!!

well done vijana wa old trafford!!!poleni washikishwa ukuta wajimini....aiii sijui kwanini huwa nakosea namaanisha washika bunduki
 
Yes tunahitaji kufunga magoli mengi
 
Msimu huu tuna tatizo kubwa la defence,mechi ya Liverpool na Arsenal zote defence ilizembea na kuwapa jamaa ushindi na yale magoli 3 dhidi ya HULL CITY pale OT yanadhihisha kwani mara ya mwisho kufungwa goli 3 ilikuwa game ya chelsea walivyobeba ubingwa kwa mara ya mwisho
 
You are very right Belo....huwezi kuwa unaongoza 4 -1 then matokeo yawe 4-3 na bado uiamini difensi yako....
for a start Gary nadhani hayuko ok kucheza.
Ufungaji unazidi kuboreka kadri muda unavyosogea (which is good).
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=bEBN7Xqf7qw[/media]
 
This weekend we have tough game against Villa away but the importance issue is to keep cleansheets
 
If AV go into their pitch with 'we are coming from beating Arsenal' in their mouths, dawa ni kuwazima kama kipisi cha sigara.
Nadhani itakua tight game, but we will make it through
 
rooney-350.jpg

Wayne Rooney is held off by two Villarreal defenders. (Hapa ni kama jamaa wanambeba kumtoa nje majeruhi - kwa mechi zetu za mchangani)

Villa Real wamekomaa, but hell, we are into the final sixteen😀
 
Yes its good tumequalify so tuna kibarua kizito na Man City sijui itakuwaje
 
Game ya Jana ilikuwa Damn boring!, did you guyz enjoyed it?, yaani as if tulikuwa Carrington Park tunafanya Mazoezi!, anyways as much as tume qualify tena kwa nafasi ya kwanza lets cheer it!

Kweli mkuu, hicho kibarua na Mancity sijui itakuaje, unajua tena mambo ya Derby?!, ni vurugu kwenda mbele tu!.
 
Itategemea mechi ya mwisho tujue nani atashinda hii group baina ya Man Utd na Villarreal, ila Utd wana advantage kwa vile wanacheza nyumbani dhidi ya Aalborg wakati Villarreal wana mechi ngumu huko Glasgow.
 
Wakubwa hivi Fergie ana matatizo gani na TEVEZ juzi Berbatov alikuwa majeruhi nikadhani TEVEZ ataanza duh nikashangaa anakuja kuingia dakika ya 85 jamaa mpaka kaanza kuonekana mchovu sababu amekosa confedence kwani bado hajapata permanent deal na Madrid wanamnyemelea
TEVEZ katusaidia kushinda Premier league na Champs League
Game ya Lyon,Blackburn,Mido,Chelsea,Kop jamaa alituokoa sana kwa nini jamaa anawekwa benchi nisaidieni wakubwa
 
Asalam Alaykum!

Nikiwa Shabiki wakutupwa wa Manchester United kuanzia mwaka wa 1966 hadi hii leo kwa kweli Sir Alex Ferguson anahitajia kupewa kila sifa kwa kuiwezesha team aliyoichukua wakiwemo walevi watupu kina MacGrath na wengineo hadi akaja akawapata kina Cantona na kuanza kuchukua mataji kila heko anastahili.

Hapa alipofika Ferguson kishagonga ukuta na hajui alifanyalo na inabidi Man Utd itafute replacement kwaharaka kabisa. Ukitaka kukubaliana na mie nikuanzia match ya Arsenal kuja ya Aston Villa. Huwezi ukaelewa huyu Tevez wanini kwenye team na lini anataka Nani akuwe. Alikubali kuwa na kina Gigs, Neviele, Beckehma hadi wakawa matured lakini leo kaleta watu anawaweka baoni kisha akiwapa fursa ategemee kuweza kufanya vizuri.

Ukiweka 1. Venders 2. P mtoto wa Brazil 3. Evra 4. Vidic 5. ferdinad 6. Anderson 7. Ronaldo 8. Nani 9. Berbatov 10. Barbatov 11. Rooney basi kikosi hichi kwa pale kwenye Premier labada Shetani ndio atakiweza. Huyu Park na Gigs wanini? Gigs nikucheza match baadhi tu tena second half, hawezi kucheza akenda na pace ya mchezo lakini kashikiliwa tu na dhana za kiajabu kuwa ni experience. Scholes akija ni sawa kwani bado anauwezo, kisha Gigs ni mroho wakutupwa hutaka kupiga Free Kick kwenye maeneo ya Ronaldo ni vipi? Angalia zamani kwenye maeneo ya hatari utamsikia mtangazaji Beckham Teritory kwa kuwa akenda kupiga kuna khatari leo Tritory za Ronaldo naye hujipeleka. Giggs of 1999 is no more existing, his days has gone.

Tutaendelea kuizungumza team yetu.

Thanks#
Mzee Panganyile
 
Timu hiyo hiyo Arsenal 2 Man utd 1, mpira si maneno!!
 
Join Date: Tue Aug 2007
Posts: 1
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Credits: 532

Karibu mkuu Panganyile,
Sina shaka na unazi wako mkuu, yaani post yako ya kwanza in 15months inakua ya Man.
 
ilikuwaje Ronaldo kupewa kadi nyekundu..........inamharibia sifa yake kwa kweli
 
dogo kaboa kinoma leoooo kacheza marede sijui mdako sijui netball ileee masukudi wakati akijua ana yellow card kibindoni!

otherwise team ilicheza fresh kweli leo n dats da team iwe yachezeshwa sijui ferguson anaingia huku jf???labda park ji sung asiwe ndani ya hiyo 1st 11 otherwise...kudos kwa man utd fans

tusubirie vituko vya bidae arsenal n chelsea
 
Mtalaam,
hujaona vizuri ille move, Ronaldo alikuwa hana ujanja kwani alisukumwa na kukosa balance ya kupiga kichwa. Asingefanya vile huenda angekaa wiki kadhaa nje ya uwanja kwa kubambatizwa usoni. Pale refa hajaona vizuri ndo maana aliamua kutoa kadi ya njano siyo nyekundu. Kama kosa lile lingekuwa genuine ilitakiwa nyekundu moja kwa moja.

Kilichotakiwa kufanyika pale ni kadi nyekundu kwa mchezaji wa city (aliyekuwa anangalala chini) na penalti.
 
Back
Top Bottom