OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Nyie matakataka tutawapelekea moto ohoo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutapishana na nyie vzr tuu na hakuna kitu mtatufanya😃😃Mnakuja emirate (geto), Tutawapiga sio chini ya 4
Na mkijifanya machizi kutaka kupishana, mtadhalilika
Unazingua!!"oyaaEndeleeni kujidanganya, ulishaona wapi kocha mhindi.
[emoji1]Tutapishana na nyie vzr tuu na hakuna kitu mtatufanya[emoji2][emoji2]
Tukuite gaidi tukusifie?Huyu muhuni kijukuu cha vasco da gama akifka Christmas mniite gaidi 🤣🤣
Hakuna kocha apa
Ukituletea moto tunauzima, hatuogopi wala nini.Nyie matakataka tutawapelekea moto ohoo..!
Luke show with another set back injury today. He will be out for few weeks
Mwamba kajivunja, yote ya nini? Kukaa mbali na hii dhahamaView attachment 3168471
hivi unajua toka Ligi ya Epl ianze 1992 mjawai kutufunga goal 4.Mnakuja emirate (geto), Tutawapiga sio chini ya 4
Na mkijifanya machizi kutaka kupishana, mtadhalilika
kwaiyo saizi kipimo cha kocha ni mechi 5 tuJumatano itakusa siku ya kipimo tosha kwa huyu kocha mpya.
Leo zinaanzia 4 ni ushirikiano wenu ndio unahitajika zaidi. Hakuna litakalo shindikanahivi unajua toka Ligi ya Epl ianze 1992 mjawai kutufunga goal 4.
Leo apigwe. Nimeweka robo tatu ya ukwasi nilionao Kwa arsenalKuna jamaa humu anaasema kocha wenu kanjibai tangu lini muhindi akawa kocha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣