Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Mmetoka kwenye fedheha chuma 4, sasa mtapigwa kawaida tuchukue points zetu

Big up nyumbu kwa 45 za kwanza, hakika amorim anakitu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bado hamjasema, leo mtaliwa kimasihara na hamtaani mmeliwaje kiulaini namna hio.
Maghalaes leo hayupo tunawaachieni tu mpige kona idadi mnazozitaka.
Nyumbu lazima mchangie points 6, labda mtufunge kwenye FA lakini sio leo
 
Back
Top Bottom