Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Screenshot_2024-12-06-16-08-55-934_com.instagram.barcelona-edit.jpg
 
Kumbe walishajua,wakajiandaa lakini wapi!
Ndio waelewe ya kwamba walijitahidi sana kupunguza idadi ya magoli ambayo tungewafunga.
 
Hivi Ile mechi ya Liverpool msimu wa 2021/22 waliyopigwa 4-0 Anfield waliingia langoni Mara ngapi?
ile waliingia sana tu, sijui kwanini wakicheza na Arsenal wanakuwa waoga kuja mbele ,mechi nyingi hawafikagi kwenye box mara kwa mara ,
 
Chelsea na united tuna chukua EPL kabla yenu.
He who's laugh the last, laugh the best
 
Small Teams that will finish above United:

1. Aston Villa
2. Newcastle
3. Brentford
4. Fulham
5. Brighton
6. Nottingham Forest
7. Bournemouth
 
Bhangi mbaya sana,watu mmeshinda Kwa set pieces ila midomo imezidi wakati ligi mara ya mwisho arsenal amebeba 2005.

Tumemfukuza ten hag ambaye amecheza fainali 3 na kubemba makombe mawili 2, arteta akiwa hana kombe hata moja la maana.

Liverpool wamepata kocha mpya baada ya klopp kuondoka,lakini unaona kabisa ndani ya msimu wa kwanza kocha wao anaonesha uwezo wake wa kutaka kubemba makombe makubwa, na lazima atabeba kabla ya arteta..

Mashabiki wa arsenal Wana midomo sana, utafikiria timu yao ni bora sana, wakati niya kawaida kama Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie hata moja hamna kazi ni midomo tu ngoja tuone kama mtachukua ligi Kwa set pieces
 
Sasa unatakaje tumfukuze kocha aliyeturudisha UEFA na anayefanya tuwasumbue humu? Slot hujui kama amerithi kikosi kilichokuwa kwenye mbio za ubingwa msimu uliopita, kwani sio Liverpool iliyokuwa inaongoza ligi paka February? Ten hag ana kombe gani la maana ambalo Arteta hajachukua?
 
Wanasema eti carabao man
 
Kumbe arsenal kushiriki UEFA, na kumfunga Manchester united ndio mafanikio makubwa ya kocha wenu arteta😁
 
Wanasema eti carabao man
Kwa mda aliokaa ten hag Manchester na kucheza fainali 3 na kubemba ndio mbili 2 hata kama sio za maana ila jua amemzidi kocha wenu arteta ambaye hakubeba chochote.

Bebeni ligi na UEFA nasio kuishia nafasi ya pili kwenye ligi, hivi hamuoni aibu hadi Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie patupu.
 
Manjesta mmeshakuwa mteja wetu

Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu 😂😂😂😂

Arteta vs Manjesta

Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2

Mlimzoea Wenger anawachekea ,

Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu
 
masingeli 🤣 storm is comin'
 
Manjesta mmeshakuwa mteja wetu

Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu 😂😂😂😂

Arteta vs Manjesta

Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2

Mlimzoea Wenger anawachekea ,

Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu
Wakandwe hivyo hivyo mpaka waite maji mmmaaaa....
 
Back
Top Bottom