kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,668
- 9,809
Wewe safari hii hutakuwa na maisha marefu humu ndani utakimbia sababu i can tell you this time tumepata kocha ni suala la muda tu.Baada ya mechi 5 atakonda Tena maana ni vipigo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe safari hii hutakuwa na maisha marefu humu ndani utakimbia sababu i can tell you this time tumepata kocha ni suala la muda tu.Baada ya mechi 5 atakonda Tena maana ni vipigo tu
ile waliingia sana tu, sijui kwanini wakicheza na Arsenal wanakuwa waoga kuja mbele ,mechi nyingi hawafikagi kwenye box mara kwa mara ,Hivi Ile mechi ya Liverpool msimu wa 2021/22 waliyopigwa 4-0 Anfield waliingia langoni Mara ngapi?
Chelsea na united tuna chukua EPL kabla yenu.ile waliingia sana tu, sijui kwanini wakicheza na Arsenal wanakuwa waoga kuja mbele ,mechi nyingi hawafikagi kwenye box mara kwa mara ,
Sawaa stoke cityNa sisi hatuwazi kabisa kufungwa na nyny maana tukikutana ni kama huwa tunapiga tizi training ground...January mjiandae majirani tunakutana tena...hatutaki visingizio
Sawaaa stoke city fcToka nafasi ya 13 halafu njoo tuongee
Yaani anatusumbua sana.Karibu tena mwamba!! maana flano alishaanza kunenepa
Sasa unatakaje tumfukuze kocha aliyeturudisha UEFA na anayefanya tuwasumbue humu? Slot hujui kama amerithi kikosi kilichokuwa kwenye mbio za ubingwa msimu uliopita, kwani sio Liverpool iliyokuwa inaongoza ligi paka February? Ten hag ana kombe gani la maana ambalo Arteta hajachukua?Bhangi mbaya sana,watu mmeshinda Kwa set pieces ila midomo imezidi wakati ligi mara ya mwisho arsenal amebeba 2005.
Tumemfukuza ten hag ambaye amecheza fainali 3 na kubemba makombe mawili 2, arteta akiwa hana kombe hata moja la maana.
Liverpool wamepata kocha mpya baada ya klopp kuondoka,lakini unaona kabisa ndani ya msimu wa kwanza kocha wao anaonesha uwezo wake wa kutaka kubemba makombe makubwa, na lazima atabeba kabla ya arteta..
Mashabiki wa arsenal Wana midomo sana, utafikiria timu yao ni bora sana, wakati niya kawaida kama Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie hata moja hamna kazi ni midomo tu ngoja tuone kama mtachukua ligi Kwa set pieces
Wanasema eti carabao manSasa unatakaje tumfukuze kocha aliyeturudisha UEFA na anayefanya tuwasumbue humu? Slot hujui kama amerithi kikosi kilichokuwa kwenye mbio za ubingwa msimu uliopita, kwani sio Liverpool iliyokuwa inaongoza ligi paka February? Ten hag ana kombe gani la maana ambalo Arteta hajachukua?
Kumbe arsenal kushiriki UEFA, na kumfunga Manchester united ndio mafanikio makubwa ya kocha wenu arteta😁Sasa unatakaje tumfukuze kocha aliyeturudisha UEFA na anayefanya tuwasumbue humu? Slot hujui kama amerithi kikosi kilichokuwa kwenye mbio za ubingwa msimu uliopita, kwani sio Liverpool iliyokuwa inaongoza ligi paka February? Ten hag ana kombe gani la maana ambalo Arteta hajachukua?
Kwa mda aliokaa ten hag Manchester na kucheza fainali 3 na kubemba ndio mbili 2 hata kama sio za maana ila jua amemzidi kocha wenu arteta ambaye hakubeba chochote.Wanasema eti carabao man
masingeli 🤣 storm is comin'Manjesta mmeshakuwa mteja wetu
Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu 😂😂😂😂
Arteta vs Manjesta
Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2
Mlimzoea Wenger anawachekea ,
Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu
Wakandwe hivyo hivyo mpaka waite maji mmmaaaa....Manjesta mmeshakuwa mteja wetu
Kama kunywa maji tu ,tunajipigia tu 😂😂😂😂
Arteta vs Manjesta
Mechi 10
Win 7
Draw 1
Lost 2
Mlimzoea Wenger anawachekea ,
Arteta hacheki na manjesta,ni anawabonda tu