Manchester United (Red Devils) | Special Thread
AMAD inatakiwa acheze Barcelona sio hapa. Pale anamuweka bench hata Lamine Yamal.
 
Hii ndio man u nayo ijua mimi 😅under dog mwenye jina kubwa ata Nottingham Forest alikuaga kama nyie nw Uefa anazo
 
United sijui kuna mapepo? Hivi huyu kocha hii mbinu ya kuvadilisha kikosi kila siku mbona atatuua kwa pressure? Huu mtundo kwa EPL ataumia kwa kweli.
 
Hebu badilikeni basi ndugu zetu, tumechoka kuwasema kila siku.
Bora tu mumrudishe baba ubaya,alikuwa hata akipoteza mechi,anapata la kuiongelea arsenal " lakini ile haikuwa offside "
 
Back
Top Bottom