Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Mi wanachonichekesha mashabiki wa nyumbu dunia nzima wakishinda mechi wanasahau kila kitu wanaanza kuwahype wachezaji wao.

Mara Hojlund anahojiwa anakuambia mi napenda back 3 ndiyo inanifaa. Wakati uingereza ukicheza back 3 inabidi uwe physical haswa ili usifumwe out of position, Hakika Ruben hajui hilo anadhani yupo Ureno

Selikavu kazi ya kuivuka mitihani inawashinda hadi siku muifikie Arsenal mpo hoi.
 
Msimu wakati unaanza Onana anakuambia msimu huu nimejiandaa kutake risks. Nikajiuliza risks gani kumbe za kupigwa goli 5 mechi 2.

Sasa hivi GD inaanza kusoma negative
 
Hawa kila msimu wana maliza na GD ya negative
Msimu wakati unaanza Onana anakuambia msimu huu nimejiandaa kutake risks. Nikajiuliza risks gani kumbe za kupigwa goli 5 mechi 2.

Sasa hivi GD inaanza kusoma negative
 
Nagawa KADI za mwaliko wa show ya kesho ya EX wenu Spurs aliyewagongea kwenu bao tatu mixer kumwagia ndani itakayofanywa na THE BLUES nyumbu mngependa tuwalipizie bao ngapi kesho???
 
Nagawa KADI za mwaliko wa show ya kesho ya EX wenu Spurs aliyewagongea kwenu bao tatu mixer kumwagia ndani itakayofanywa na THE BLUES nyumbu mngependa tuwalipizie bao ngapi kesho???
Ukiona ama.kujiona unajua kutukana sana basi wewe ni certified fukara. Yan wewe hadi unakufa utabaki kua fukara tu.
 
Back
Top Bottom