Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Tafuteni beki wa kueleweka

images (1).jpg
 
Unacheza back 3 na timu inayoishi kwa counter 😂😂😂
 
Leo kidogo naona boli linatembea,second half tunaenda kupiga come back nyingine tena..Dialo na Garna watahusika katika magoli yatakayopatikana
Hilo Boli gani labda bolibo mshalambwa chuma 3 😂 ...kamubaki labda kwenye dream league
 
Watu washazoea nyumbu kufungwa hakuna anayeshangaa

Wala hakuna anayekuja huu uzi
 
Dah mambo gn Tena hapa TOT tunaruhusu yatokee, hawa nyumbu wakishinda watatamba sana em refa maliza mpira kuna watu wanaishi mbali
 
Back
Top Bottom