Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ni balaa sana mkuuAmini nakuambia
Unasemaa?!?Hiki ni kikundi cha ngoma
Sio tu kocha mpya kocha anatakiwa awe na uwezo .hapo epl kugumu sana ,sio kila kocha atapaweza.kocha mpya hata akiwa mbovu kuna positivity huwa analeta ndani ya timu, atleast game 5-10 za mwanzo kunakua na energy flani mpya!
huyu Amorin wenu mbona timu inazidi kuwa mbovu?
Masikini man utd watapoteza hiyo michezo yote.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 3185864
Halafu hachokagi kutabiri😂😂😂, huwa anamalizia tabiri yake na leo man u inacheza dunia yote inafuraha. Wanaishia kukandwa.Kuna watu hawana bahati duniani.
Mfano Pele, alikua akisema timu Fulani inashinda basi ujue inapigwa.
Akisema Timu hii inachukua kombe basi hata makundi haivuki.
Hii bahati mbaya ndiyo anayo alipipi. Mzuieni asiendelee kutabiri matokeo in favour ya united, bora atabiri mnafungwa ili awe kafanya kinyume
Hamjachelewa kuandika barua FA ya kuomba kujitoa kwenye mashindano ya EPL msimu huu.
Na nyie mnaenda kupigwa za kutosha Leicester n vardy anaongoza na hatrikAnother kenge beaten. Mtamaliza nafasi ya 18 nyie
Alqfu Sporting nao wametimua yule kocha aliyekuja kumreplace mshkaji.Hadi may tutarudi tena na "bring back era come to an end"View attachment 3183150