Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Naludia kuwaambia hii Timu yenu hata Enyimba Fc hamuwafungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ni kikundi cha ngomaUnasemaa?!?
We kenge hata mechi ulikuwa hufuatilii maana mda unapost huu utopolo game ilishaanza na Vardy hata hakuwepo kikosiniNa nyie mnaenda kupigwa za kutosha Leicester n vardy anaongoza na hatrik
NaLudia = NaRudiaNaludia kuwaambia hii Timu yenu hata Enyimba Fc hamuwafungi
Ivi = HiviIvi si mshuke tu daraja mkajipange wa kupigana wapigane wa kufukuzwa wafukuzwe.....ya nini kung'ang'ania Ligi kuu huku mnabaluzwa kila Siku
Washenzi nyie
Hapa lazima kuna mechi watapoteza tu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 3185864
Ni zamu yenu sasa mmefikiwa,hela zote mlizonazo zinashindwa kuwasaidia.Katika shabikia shabikia yangu sikuwahi kuona vipigo mfululizonkama hivi.
Kwa vipigo hivi Tenhag huko alipo anatakiwa anyongwe.
Aliwauza Fred,Mactonomy,Olanga, hawa hawakuwa wakuwauza
Maamuzi magumu yalikua ni kumuachia timu Mwarabu, unaambiwa Sheikh Jassim bin Hamad al Thani ni shabiki lialia wa Man Utd tokea ana miaka miwili.Kazi ipo wallahi hii timu inahitaji maamuzi magumu mno ambayo kwa ninavyoona INOS hawako tayari kuyafanya maana wameanza kulia lia.