Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Chelsea tumelambwa kimoja ila tunakirudisha hiki na ushindi juu, amini maneno yangu mana Mm sio mhuni kama mashabiki wa nyumbu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shabiki la Ukengeni linakuja kuropokwa huku wakati na lenyewe limeshapigwa goli 2 na timu ya pili kutoka mwisho iliyopanda daraja msimu huu.
 
Back
Top Bottom