Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Breaking News 📰

Bwenyenye Jipya Sir Jim Ratcliffe

Linaenda kumwaga hela wakubwa.

cheki mkiwanja uo, kiwanja🏟️ kinakwenda kujengwa hakuna mfano duniani hata malaika mbinguni wanashangaa, maana kiwanja kama icho kimewai kuonekana kwa mara ya kwanza mbinguni tu mussa ndo mtu kutoka huko anasimulia aliona.

Yani ni rahaa tupu wakubwa.
Sasa utashangaa watao pata wivu ni Wenger orphans.
1741698351901-jpg.3266778

View attachment 3266780View attachment 3266781
tafadhali toa picha ya ten hag pale mwanzoni
 
Achana na hizi habari, hujatabiri siku nyingi. Niko vibaya. nitabirie basi mechi moja tu ya UEFA ya leo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema huyu refa wa leo akipigwa vizuri atasema tu kabatini kwake ana jezi ngapi za Utd, kwani FA hawawezi kumpa ajira huyu jamaa naona anatufaa sana kwenye Epl.
Halafu kuna ile takataka pale mbele inatukaba wenyewe, Amorin asipoifanyia maamuzi magumu kwenye dirisha kubwa nina uhakika ndio itakayo mfukuzisha.
 
Back
Top Bottom