Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Kwa macho yaliyo jaa THE KICK mbona kama sioni timu ya kuizuia man u kufika fainali hapa?
Screenshot_20250314-011700.png
1713782188650.jpg
 
Quenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue
 
Quenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue
Man United walishasajili beki wa kulia toka dirisha dogo atajiunga na timu dirisha kubwa anaitwa Leon
 
Man United walishasajili beki wa kulia toka dirisha dogo atajiunga na timu dirisha kubwa anaitwa Leon
Unamaanisha leon atacheza upande wa kulia na dorgu atacheza upande wa kushoto.

Inawezekana kwa sababu Quenda naye anatumia mguu wa kushoto ila alikuwa anatumika upande wa kulia kama AMAD.

Ngoja tuone.
 
IMG_2645.png

Ujuo wa Sir Jim umekuja kuiokoa timu yetu, Richard Anord ni mtu wa rugby/ Ed Woodward ni banker.

Ndio maana kulikua na bad decisions kwenye kila kitu kuanzia usajiri wa wachezaji, mishahara ya wachezaji iko very high, scouts team

Ukiangalia toka ujio wa INEOUS tumesajiri wachezaji wadogo wenye vipaji na burgain ya mishahara sahihi,

Angalia INEOUS walichotuletea
1. Mazrour
2. Delight
3. Heaven
4. Chido
5. Dogo mwenye uraia wa senegal
6. Dorgu
7. Ugarte
8. Fundi wa mpira zirkzee

Then fananisha na sajiri za kina Woodward na viwango vya mishahara, mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom