Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Kabisa.Dorgu man of the match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa.Dorgu man of the match
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu muhuni anasaidia kupunguza molari ya timu pinzani, ila amenifurahisha ile penalty ya mwisho kaonyesha uungwana amemfata refa na kumuambia kua hajachezewa rafu.Dorgu man of the match
Mwanaume kuchekacheka ovyo ni ujinga.Hao wachezaji sasa wanaoichezea man u, mpaka nacheka [emoji23]
I didn't realize you are such a fool boy.Kila baya liwakute.
Dk ya 9
Bado hamjafungwa.
Ngoja the kick iishe ndo utawajua vzuri ..hapo Kuna Lyon na kina athletic ya kina Nico Williams mna mlima mrefu sana ....hata akichezeshe refa km wa Jana Bado hamtoboi😂Kwa macho yaliyo jaa THE KICK mbona kama sioni timu ya kuizuia man u kufika fainali hapa?View attachment 3269587View attachment 3269588
roger fernandes wa sc bragaQuenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue
Yupo vyema?roger fernandes wa sc braga
ee afu n bei ndogYupo vyema?
ndo scouts wa man u chaguo lao ilo dili la quenda kitambo tu walikua wanajua mchawi chelsearoger fernandes wa sc braga
Man United walishasajili beki wa kulia toka dirisha dogo atajiunga na timu dirisha kubwa anaitwa LeonQuenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue
Unamaanisha leon atacheza upande wa kulia na dorgu atacheza upande wa kushoto.Man United walishasajili beki wa kulia toka dirisha dogo atajiunga na timu dirisha kubwa anaitwa Leon
Tetesi za usajili wa midfield hazisikiki na ndio eneo moja muhimu zaidi.Man United walishasajili beki wa kulia toka dirisha dogo atajiunga na timu dirisha kubwa anaitwa Leon