MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Big yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri Unamzungumzia Neville au scholes na sio carrick!!!Ka carrick kanaongea sana
Hebu tuone !!
Haona carrick nmekaa nae gheto moja huyo jamaa anapenda sana kula bagiaNafikiri Unamzungumzia Neville au scholes na sio carrick!!!
Haona carrick nmekaa nae gheto moja huyo jamaa anapenda sana kula bagia
Au nikupe namba yakeCarrick hana kuchonga kwingi,na baada ya muda nafikiri atakuwa kocha mkuu pale Man U,bado anaandaliwa.
Nani?Au nikupe namba yake
Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefutwa kazi leo tarehe 18/12/2018. Miaka mitatu iliyopita Jose Mourinho alifutwa kazi umeneja wa klabu ya Chelsea tarehe 17/12/2018.View attachment 971237
CarrickNani?
Naah,endelea kubaki nayo tu!!!Carrick
Kwetu raha sana
Nafikiri ni mutual agreements!!!Jamaa ame resign au amefukuzwa?
Klopp anaroho mbaya sana aisee,amekuwa sababu ya Mourihno kufukuzwa kazi mara tatu.
1:Klopp kocha wa BVB amemfunga goli 4-1....kwa Madrid,Mourinho ametimuliwa.
2:Klopp kocha wa Liverpoolfc amemfunga 3-1 kwa Chelsea,Mourinho ametimuliwa.
3:Klopp kocha wa liverpoolfc amemfunga 3-1 kwa Manchester united,Mourinho ametimuliwa.
Aaah wapi,sio kwa timu ile ndugu yangu!!!Sasa PSG asibwete,usiku wa UEFA champions utakuwa mkali sana kati ya Hawa man utd na Psg,ninaamini PSG anaweza kutolewa na Man utd sasa,wachezaji watakuwA wana morali mpyaaaaaa kabisa.
Kwa hiyo mimi na mourinho tumelingana wote hatuna ajira... [emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha haya!