Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

Tuleteeni Uncle Wenger basi.....
 
Klopp anaroho mbaya sana aisee,amekuwa sababu ya Mourihno kufukuzwa kazi mara tatu.

1:Klopp kocha wa BVB amemfunga goli 4-1....kwa Madrid,Mourinho ametimuliwa.

2:Klopp kocha wa Liverpoolfc amemfunga 3-1 kwa Chelsea,Mourinho ametimuliwa.

3:Klopp kocha wa liverpoolfc amemfunga 3-1 kwa Manchester united,Mourinho ametimuliwa.

We hiyo habari umeitoa wapi?
 
Sasa PSG asibwete,usiku wa UEFA champions utakuwa mkali sana kati ya Hawa man utd na Psg,ninaamini PSG anaweza kutolewa na Man utd sasa,wachezaji watakuwA wana morali mpyaaaaaa kabisa.
 
Back
Top Bottom