Mandela halisi aliuwawa na makaburu huyu ni feki

Taswira ni kada mwenzako kama wewe yaani CCM. Bavicha hakuna wanao toa hoja za ovyo kama MSALANI, CHAMVIGA, CHABRUMA, Simiyu Yetu et cetera.

Mwenye hoja za maana ni wewe peke yako. Haya furahi.
 
watoto wa lumumba ni ful komedi mda wote.....
 
Ndugu zambi ebu nisaidien Nimetapiliwa!Siku moja nilienda kwa Sinza kwa Remmy,nilipata dalali na nikazunguka naye.Sikuzipenda nyumba alizonionyesha.Baada ya Siku tatu nikapigiwa simu ya kuwa umepata nyumba?Nikamwambia bado akasema njoo wa Remmy!Nilipofika kwa Remmy nikampigia simu nimefika akasema yeye ameenda kumuonyesha MTU shamba lakn kuna kijana wake nimsubiri kidogo at agenda kunionyesha nyumba
.Muda so mrefu alikuja kijana akasema anaitwa Fredy,akaenda kutuonyesha nyumba tukaipenda!Akasema mwenyewe nyumba yupo makongo na kesho take akatupeleka kwenda kulipa.Tukalipa kumbe alitupeleka wa mwenyewe nyumba fake!Hebu nisaidien kimawazo nifanyeje jaman wamenipiga million sita heal yenyewe ilikywa nin mkopo
 

Kweli weye abunwasi
 
Aha ha ha,,yani tabasam la sura yako hapo,,daah limifanya nicheke hadi nishindwe kucomment


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…