Mandonga case study: Je Ni sahihi kwa bondia kupigana mara mbili ndani ya mwezi mmoja?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,

Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii.

Chama Cha ngumi Cha Tanzania kinatuletea aibu Kama taifa kwangu naona hii ni unprofessional kabisa

Ndani ya sheria na kanuni za boxing hakuna kitu kama hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi ni yake
Hata akisema apigane kila siku?
 
Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,

Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii.

Chama Cha ngumi Cha Tanzania kinatuletea aibu Kama taifa kwangu naona hii ni unprofessional kabisa

USSR
Anatafuta hela na nafasi kaipatia uzeeni
 
Du! Me najiuliza enzi zile za uanafunzi ukipigwa ngumi ya kichwa maumivu wiki kadhaa

Sasa yeye Mandonga huwa anauguza majeraha na maumivu ya mwili kwa muda gani halafu anaanza mazoezi ya pambano lijalo ndani ya mwezi mmoja?

Jamaa atapata tu shida ya kiafya hasa kichwani!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wataalam wa ndondi hebu mtusaidie hili,

Mandonga alipigana wiki mbili zilizopita nchini Kenya akapigwa TKO lakini leo Tena amepigana pale mwanza akapigwa Tena kwa KO yaani ndani ya mwezi mmoja tu bondia anapigana Mara mbili tena mapambano makubwa namna hii.

Chama Cha ngumi Cha Tanzania kinatuletea aibu Kama taifa kwangu naona hii ni unprofessional kabisa

USSR
Kwani Mandonga ni bondia ama mburudishaji?
 
Huyo anatumika,yuko kama msukule

Amulize mwenzake pierre maana alikuwa anakunywa pombe kwa sifa
Kilichomkuta anakijua mwenyewe

Ova
 
Karim Mandonga siyo bondia bali ni comedian anayetumia mchezo wa ndondi katika sanaa yake hiyo ya uchekeshaji.
 
Back
Top Bottom