Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Mandonga mtu kazi apiga mtu round ya kwanza

Bondia maarufu nchini Mandonga ametumia dakika 1 na sekunde 56 kumchakaza mpinzani wake Musa Omary leo kwenye Tamasha la Sensabika linalofanyika katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom